Unawezaje kukaa bila kufanya mapenzi kwa muda mrefu?

Siyo kwamba unashindwa bali unajiendekeza ,unawezaje kwenda kugonga malaya? Mnapata guts kutoka wapi?

Majukumu yakiongezeka utafikisha hata mwezi bila kugonga.
 
Wakuu,
Mimi siwezi kukaa ndani ya siku saba na nisifanye mapenzi, hali hii huwa inanishinda,
Kwanza pole sana kwa mzigo huo unaokulemea. Pili, kama hujafunga ndoa, unachokifanya sio mapenzi, ni uasherati na uzinzi. Tubu dhambi hiyo mapema, Yesu yuaja upesi. Wazinzi watahukumiwa kwenda katika moto wa milele.

Waebrania 13:4
“Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; maana wazinzi na waasherati Mungu atawahukumu.”
 
Kwani ukijisikia hamu ya kufanya mapenzi halafu usifanye kwani mwili utapasuka?

Jifunze tu kucontrol akili yako dhidi ya matendo.

Kila ukijisikia hamu piga push ups mia tuone kama mwili utaizidi akili akili. 😄
Hii kitu nakubaliana nayo kwa asilimia 100. Akili ukiiweza kuudhibiti basi ufanikiwa ktk hili.
 
Mzee hiyo hali ni Mungu mwenyewe akuondolee na kuwa na jitihada za dhati mwenyewe kuna baadhi ya wanaume tuna high level of testosterone hormones. Yaan kwa siku unaweza kuzagamua hata wanawake wawili na hamu isikuuishe.

Unaweza kuwa na mke mzuri tu ndani lakini wapi?

Hiyo hali hata mie inanikutaga mpaka nikahisi nitabeba mikosi.
Ila huwa najitakasa na chumvi ya mawe kwa kuondosha nuksi kama wanavyosema wadau humu.
 
ahsante kwa ushauri.
 
 
Kwa ambao hatujaoa hadi upate tunda inahitajika pesa..
Na hicho ndio kipengele
 
Mkuu...Tafuta kazi...ya kufanya
 
Sijaoa ila hali hii ikinijia huwa naenda kwa madada poa namaliza hamu zangu na kurudi nyumbani
Hapo soon wataondoa haiba yako na kiwango chako cha mpira kitakwisha na hutaweza fanya tena mazoezi !, oa ukafsnye na mkeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…