Unawezaje kukaa bila kufanya mapenzi kwa muda mrefu?

Chumvi ya mawe ni uwongo,kumbuka mikosi na mizimu ni roho.
 
Kama we ni mtu WA mazoezi vizuri huwezi waza sex muda ote as muda mwingi mwili umechoka.Afu kumbuka kila kitu kiananzia kichwani mzee control your thoughts . Remember sex will never bring you food on the table.
Sijui kwanini umemchukulia kwamba mtoa mada bado ana shida ya chakula nyumbani? Haha
 
Mzeya mtaani kwenu wacheza namba ngapi?
Wee ujue kuwa na nyege nyingi ni ishara ya kuwa wee ni mwenye afya njema. Uliona wapi mgonjwa akadindisha?
Bro wakule tuu hawa kenge...wamewekwa duniani kutupa burudani
 
Sisi wanawake tunaweza sema tuu tume-mute.... Visukari, Presha, Tezi-dume, nguvu za kiume sifuri zinatuathiri sana sana kisaikolojia😭🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…