Skull dance
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 476
- 953
Wakuu heri ya mwaka mpya 2026, muda huu nipo zangu kwenye basi natoka kwenye majukumu nawahi hom kula sikukuu na familia.
Jirani yangu nimekaa na pisi kali kinyama imenivalia kamini kafupi amefunga na kamtandio laini na miguu ameiacha imetengeneza herufi V! Ebwana eeh! Mtoto wa kiume nimejitahidi kukaza ikiwa pamoja na kutazama mbele linapoelekea basi najikuta macho yanaishia huko tu, nikaamua kuingia JF ili akili iwe busy nisimtazame lakini hapa kwenyewe naandika jicho lipo kule tu hadi nadhani kuna baadhi ya spelling nakosea yan nashindwa kuelewa mnawezaje wazee?
Mwenzenu upwiru umenijaa namuwahi mama nikaupunguze lakini naona mambo yanakuwa magumu hapa.
Tupeane uzoefu wazee, ngoja niendelee kucheki paja nimeshamaliza uzi!