Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,461
- 11,345
Sina cha kusemaš
Kondom kwa mtu mwenye tatizo la nne haikusaidii mana ukiwa mjinga utaingia saltingCondom zipo š
Vunja mifupa dada maisha ni haya haya!Fikiria Ukimwi, STIs, homa ya Ini na mbadilishano wa eneji.
Mkuu umeuanza mwaka vibaya wewe!Wakuu heri ya mwaka mpya 2026, muda huu nipo zangu kwenye basi natoka kwenye majukumu nawahi hom kula sikukuu na familia.
Jirani yangu nimekaa na pisi kali kinyama imenivalia kamini kafupi amefunga na kamtandio laini na miguu ameiacha imetengeneza herufi V! Ebwana eeh! Mtoto wa kiume nimejitahidi kukaza ikiwa pamoja na kutazama mbele linapoelekea basi najikuta macho yanaishia huko tu, nikaamua kuingia JF ili akili iwe busy nisimtazame lakini hapa kwenyewe naandika jicho lipo kule tu hadi nadhani kuna baadhi ya spelling nakosea yan nashindwa kuelewa mnawezaje wazee?
Mwenzenu upwiru umenijaa namuwahi mama nikaupunguze lakini naona mambo yanakuwa magumu hapa.
Tupeane uzoefu wazee, ngoja niendelee kucheki paja nimeshamaliza uzi!
ndio maana nikakimbilia huku mkuu maana niliona kama vile ananiambia nijiongeze kidizaini!!!Vunja mifupa dada maisha ni haya haya!
kumbuka kile kichwa kingine kina ubongo wake na mawazo yake wala sio kutafuta pesa bali ni utelezi tu
Unakaaje na mwanamke seat moja zaidi ya masaa mawili halafu akushinde?kwenye basi mkoa to mkoa bosi utamgongaje?
mmmh! Ndio maana tunashare expirience ili tujue nyie wenzetu mnakulaje tunda kimasihara?Unakaaje na mwanamke seat moja zaidi ya masaa mawili halafu akushinde?
tatizo tunaogopa kutukanwa mkuuBadala ya kushika mapaja hayo mazuri na uje na uzi wa kushika mapaja kimasihara wewe unakuja tu kuomba ushauri humu
Hapo magoli šNa kama ulipata chanjo je?
š usiniambie mwaka mpya huu watu washavunja mifupa .Vunja mifupa dada maisha ni haya haya!
Kwa hizi ndoa zetu za sogea tukae hamna kinachoshindikana!š usiniambie mwaka mpya huu watu washavunja mifupa .
Cc: ephen_ ona hiiš¤£Mimi siwezi kukaza lazima nimgonge
Na yeye mdada anaona amekaa na James Delicious, mpeleke moto wa mikono hio au mlemavu wa mikono piaš¤£š¤£Jirani yangu nimekaa na pisi kali kinyama imenivalia kamini kafupi amefunga na kamtandio laini na miguu ameiacha imetengeneza herufi V!
Haha Sakasaka Mao naona huu mwaka unataka ufocus unatoa mawaidha sanaMkuu umeuanza mwaka vibaya wewe!
Kemea hilo pepo la ngono na uzinzi ili Mwenyezi Mungu akuepushilie mbali hayo makitu.
Huo ni mtego mzee baba.
Ndiyo maana wavuvi huweka chambo kwenye ndoano, siyo kwamba wanapenda kulisha viumbe wa majini, hapana wao ndiyo wanaopenda kuwala.
Kwa hiyo kukiepuka chambo ndiyo ujanja wenye kukuwezesha kuishi miaka mingi na heri duniani.