Unawezaje kukaza ukikaa na mrembo aliyekukalia kimitego?

Mkuu umeuanza mwaka vibaya wewe!

Kemea hilo pepo la ngono na uzinzi ili Mwenyezi Mungu akuepushilie mbali hayo makitu.

Huo ni mtego mzee baba.

Ndiyo maana wavuvi huweka chambo kwenye ndoano, siyo kwamba wanapenda kulisha viumbe wa majini, hapana wao ndiyo wanaopenda kuwala.

Kwa hiyo kukiepuka chambo ndiyo ujanja wenye kukuwezesha kuishi miaka mingi na heri duniani.
 
Sio kwa hizi k kunuka asee femu mkali ila sasa ukimtoa pichu tu aseee
 
Jirani yangu nimekaa na pisi kali kinyama imenivalia kamini kafupi amefunga na kamtandio laini na miguu ameiacha imetengeneza herufi V!
Na yeye mdada anaona amekaa na James Delicious, mpeleke moto wa mikono hio au mlemavu wa mikono pia🤣🤣
 
Haha Sakasaka Mao naona huu mwaka unataka ufocus unatoa mawaidha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…