hah
JF-Expert Member
- Jan 28, 2024
- 507
- 1,004
Haya
Mdogo wangu mi sifoki nimekutahadharisha. Hizo theories za kwenye mahusiano usiingie nazo kwenye ndoa. Kama umeshajua ni taasisi basi hakikisha na kwenye ndoa mnaishi kama taasisi inavyotakiwa kuendeshwa. Hiyo mentality uliyonayo unaangusha taasisi wewe.