Unawezaje kumwambia mke wako sasa hivi umenenepa bila kuanzisha Vita ya Tatu ya Dunia nyumbani?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Unene unapoteza umbo zuri la asili na pia nguo hazipendezi tena mwilini. Nguo zinakuvaa badala ya kuzivaa. Wanaume wengi wanashindwa kufikisha ujumbe huu kwa wake zao.

Uhakisia ni kuwa unene unafanya wanaume wengi kutafuta michepuko. Mke anabadilika ghafla kutoka kale ka binti ulikokatolea mahari na kukaoa sasa anakua meneja wa nyumba.

 

Thread inaendelea au ndio "uzi tayari"?

Title ya uzi imekaa kama vile humu ndani tutakutana na mapoint na mambinu ya kuwaambia mamsapu zetu vile wamekuwa wapana kama pazia la sinema
 
Thread inaendelea au ndio "uzi tayari"?

Title ya uzi imekaa kama vile humu ndani tutakutana na mapoint na mambinu ya kuwaambia mamsapu zetu vile wamekuwa wapana kama pazia la sinema
Tumeweka uzi ili tupate experience za watu na wengine wajifunze
 
Tumeweka uzi ili tupate experience za watu na wengine wajifunze

Poa, basi kwenye title na uzi kumekosekana hii alama "?"...

Ngoja wadau waliooa 'big mommas' waanze kutiririka, na sisi wengine wenye 'easy to carry mommas' tuchukue points...
 
Wote tukila balanced diet sawa na kufanya mazoezi au kazi zinazotumia nguvu hakuna anae beha mafuta ya ziada labda ile misambwanda ya Wazulu.
Balance diet zinaliwa na bado paja paja, kiuno kiuno, wowow wowow n.k hiyo ni asili akiridhika kidogo anakuwa na mwili na kwangu sioni tatizo kabisa as long as kiafya yupo salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…