Unawezaje kumwambia mke wako sasa hivi umenenepa bila kuanzisha Vita ya Tatu ya Dunia nyumbani?

Unawezaje kumwambia mke wako sasa hivi umenenepa bila kuanzisha Vita ya Tatu ya Dunia nyumbani?

Unene unapoteza umbo zuri la asili na pia nguo hazipendezi tena mwilini. Nguo zinakuvaa badala ya kuzivaa. Wanaume wengi wanashindwa kufikisha ujumbe huu kwa wake zao.

Uhakisia ni kuwa unene unafanya wanaume wengi kutafuta michepuko. Mke anabadilika ghafla kutoka kale ka binti ulikokatolea mahari na kukaoa sasa anakua meneja wa nyumba.
Kibonge akiwa mwepesi; sio kibonge, ni pambo la ndoa.
 
Paja paja zinaletwa na ugali nusu mboga robo na wengine wana top up ba bia.
Hao wa bia na kitimoto hawakosi vitambi, presha, matatizo ya moyo, kisukari na wengi ni tipwa tipwa mwili haujajipangilia... mafuta kuanzia utosini hadi unyayoni. Mm naongelea ile hali ya Ubantu sio utofi.
 
Mimi napenda mwanamke mnene, sipendi kabisa kabisa kabisa mwanamke mwembamba, sipend hata kdg
 
Unatumia busara…enzi zile kabla hujaongezeka ulikuwa na…kizuri sana…kama ana akili atajua sasa amekuwa Kitoto cha Faru
 
Unanunua mzani kisha unamwambia "Mke wangu tuanze tabia ya kua tunapima uzito ili tuwe tunajua kama tunaongezeka au tupungua,maana siku hizi maradhi ni mengi"
 
Unene unapoteza umbo zuri la asili na pia nguo hazipendezi tena mwilini. Nguo zinakuvaa badala ya kuzivaa. Wanaume wengi wanashindwa kufikisha ujumbe huu kwa wake zao.

Uhakisia ni kuwa unene unafanya wanaume wengi kutafuta michepuko. Mke anabadilika ghafla kutoka kale ka binti ulikokatolea mahari na kukaoa sasa anakua meneja wa nyumba.

Ili kusitokee vita ya tatu lazima muwe na mahusiano yale ambayo yanawafanya muwe marafiki na washikaji ambao mnaweza taniana na isilete shida lakini kinyume na hapo kila mbinu unayoweza kutumia kufikisha ujumbe inaweza kuleta vita kubwa sana tena sana.........

Hili jambo lazima lilete tatizo kwenye mahusiano yako!
 
Huwa najiulizaga sky eclat unafanya kaz gan[emoji23][emoji23][emoji23]mana kila baada ya nusu saa lazma upandishe uzi
^Tulishatoka kitambo kwenye maisha ya kuchuma; sasa tunakula kivulini. Nyie endeleeni kula kulingana na urefu wa kamba zenu^ ~ Sky Eclat amenitumia ujumbe huu inbox nikufikishie. NB: Mjumbe hauawi!
 
Girl you make a hippo look like a lingerie model. Cut out on the hogging......
 
Back
Top Bottom