pleo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 3,444
- 2,737
Kibonge akiwa mwepesi; sio kibonge, ni pambo la ndoa.Unene unapoteza umbo zuri la asili na pia nguo hazipendezi tena mwilini. Nguo zinakuvaa badala ya kuzivaa. Wanaume wengi wanashindwa kufikisha ujumbe huu kwa wake zao.
Uhakisia ni kuwa unene unafanya wanaume wengi kutafuta michepuko. Mke anabadilika ghafla kutoka kale ka binti ulikokatolea mahari na kukaoa sasa anakua meneja wa nyumba.