Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Unene unapoteza umbo zuri la asili na pia nguo hazipendezi tena mwilini. Nguo zinakuvaa badala ya kuzivaa. Wanaume wengi wanashindwa kufikisha ujumbe huu kwa wake zao.
Uhakisia ni kuwa unene unafanya wanaume wengi kutafuta michepuko. Mke anabadilika ghafla kutoka kale ka binti ulikokatolea mahari na kukaoa sasa anakua meneja wa nyumba.
Uhakisia ni kuwa unene unafanya wanaume wengi kutafuta michepuko. Mke anabadilika ghafla kutoka kale ka binti ulikokatolea mahari na kukaoa sasa anakua meneja wa nyumba.