Kibonge akiwa mwepesi; sio kibonge, ni pambo la ndoa.Unene unapoteza umbo zuri la asili na pia nguo hazipendezi tena mwilini. Nguo zinakuvaa badala ya kuzivaa. Wanaume wengi wanashindwa kufikisha ujumbe huu kwa wake zao.
Uhakisia ni kuwa unene unafanya wanaume wengi kutafuta michepuko. Mke anabadilika ghafla kutoka kale ka binti ulikokatolea mahari na kukaoa sasa anakua meneja wa nyumba.
Hao wa bia na kitimoto hawakosi vitambi, presha, matatizo ya moyo, kisukari na wengi ni tipwa tipwa mwili haujajipangilia... mafuta kuanzia utosini hadi unyayoni. Mm naongelea ile hali ya Ubantu sio utofi.Paja paja zinaletwa na ugali nusu mboga robo na wengine wana top up ba bia.
Kabisa. Kuna tofauti ya umbo la kibantu na utipwa tipwa utofi.... zile tofi zilizotafunwa tafunwa na watoto zikatemwa.Kibonge akiwa mwepesi; sio kibonge, ni pambo la ndoa.
ππππNa wewe unafanxa kazi gani kila baada ya nusu saa lazima usome uzi uliopandishwa ?
aniambie tu
mradi ahakikishe na yeye hajanenepa na hana kitambi
Unene unapoteza umbo zuri la asili na pia nguo hazipendezi tena mwilini. Nguo zinakuvaa badala ya kuzivaa. Wanaume wengi wanashindwa kufikisha ujumbe huu kwa wake zao.
Uhakisia ni kuwa unene unafanya wanaume wengi kutafuta michepuko. Mke anabadilika ghafla kutoka kale ka binti ulikokatolea mahari na kukaoa sasa anakua meneja wa nyumba.
Bila shaka wewe ni mwembaba.Mie mtu akiniambia nimenenepa nafurahi eti π
Sio mwembamba lakini huwezi kuniita mneneBila shaka wewe ni mwembaba.
π
^Tulishatoka kitambo kwenye maisha ya kuchuma; sasa tunakula kivulini. Nyie endeleeni kula kulingana na urefu wa kamba zenu^ ~ Sky Eclat amenitumia ujumbe huu inbox nikufikishie. NB: Mjumbe hauawi!Huwa najiulizaga sky eclat unafanya kaz gan[emoji23][emoji23][emoji23]mana kila baada ya nusu saa lazma upandishe uzi
Naambiwa hapa kila Sky Eclat akianzisha uzi ama akikomenti, JF na Google wanamkrediti dola elfu 100. This is good investment! Ndiyo maana halisi ya falsafa ya kujiajiri.Mkuu ukijua kazi yake,utampa salary au posho?