Unawezaje kumwambia mke wako sasa hivi umenenepa bila kuanzisha Vita ya Tatu ya Dunia nyumbani?

Mke wangu unapndeza zaidi ukiwa mwembamba au unaweza mshauri muanze fanya mazoezi bila kutoa sababu. Au sema umeona sehemu kufanya mazoezi na mwenza wako inamotivate nk... kama yy n mtu wa mazoezi muambie mama nanilii... napendaga sana kukuona umeloa jasho... inanpaga motisha nk...
 
Mke wangu unene unakuja na magonjwa mengi, kama tuna nia ya kuishi na kuona wajukuu ni kheri tufanye mazoezi pia tuangalie vyakula tunavyokula.
 
Kuna wengine sio wa kuambiwa kwa maneno ni mwendo wa kumpigisha shoti(stress) mpaka mwenyewe anarudi kwenye mstari mnyoofu.
 
Mda mwingine unakuta shingo inapanuka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…