Stanley95
New Member
- Jul 13, 2021
- 2
- 12
Mke wangu unapndeza zaidi ukiwa mwembamba au unaweza mshauri muanze fanya mazoezi bila kutoa sababu. Au sema umeona sehemu kufanya mazoezi na mwenza wako inamotivate nk... kama yy n mtu wa mazoezi muambie mama nanilii... napendaga sana kukuona umeloa jasho... inanpaga motisha nk...Unene unapoteza umbo zuri la asili na pia nguo hazipendezi tena mwilini. Nguo zinakuvaa badala ya kuzivaa. Wanaume wengi wanashindwa kufikisha ujumbe huu kwa wake zao.
Uhakisia ni kuwa unene unafanya wanaume wengi kutafuta michepuko. Mke anabadilika ghafla kutoka kale ka binti ulikokatolea mahari na kukaoa sasa anakua meneja wa nyumba.