Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Tshs 30000/=Hii wanauzaje? Ni vema wakipaki kwenye yale maboksi yake. Plastic siyo vitu safe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tshs 30000/=Hii wanauzaje? Ni vema wakipaki kwenye yale maboksi yake. Plastic siyo vitu safe.
14.2%. Hiyo ni pombe kali sana. Ndiyo maana hadi wameandika non fortified, maana ingetisha watu.Mkuu
Hiyo Kilevi Ni Kidogo Sana Hata Mtoto Wa Darasa La Nne Anakunywa
Bei Ni Ya Chama Na Serikali Tshs 30000/= ,Litres 5
View attachment 2294271
Mpunguzi wanauza sana hizoMkuu Zimejaa Zinaitwa Altar Wine Ila Lazima Kidogo
Upo SahihiMpunguzi wanauza sana hizo
Ova
Ingekuwa mnazi mdini Otterhound na Dalmine wangewahi humu kuelezea
Akiweka maji ya miwa ndio safi mkuu.Tumesahau na sukari mzee
Ova
Hata chungu kinafaa pia-kamua zabubu
-chuja vizuri
-ongeza maji kidogo /au miwa
-weka hamira nusu kijiko cha chai
-ifunike/ifungie kwenye chombo cha mbao ili kupata kitu bora
-iache humo miezi mwaka miaka juu yako
-Inapozidi kukaa ndio unapopata mvinyo bora zaidi.
Brew expert.
Kipimo cha nvinyo lita 2.
Ndio lakini nduguye ni pipa la mbaoHata chungu kinafaa pia
Yale mapipa ya mbao(,oak) yana gharama ya kushangaza sana. Halafu eti kuyatengeneza wanasoma miaka saba!!!Ndio lakini nduguye ni pipa la mbao
Nimekaa mlowa,mkurabi,mpunguziUpo Sahihi
Huko Ndiyo Kuna Viwanda Vya Mchuzi Wa Zabibu
Ahh hapo safi kweli we mkemiaaAkiweka maji ya miwa ndio safi mkuu.