Unawezaje kutengeneza divai ya zabibu nyumbani?

Unawezaje kutengeneza divai ya zabibu nyumbani?

-kamua zabubu
-chuja vizuri
-ongeza maji kidogo /au miwa
-weka hamira nusu kijiko cha chai
-ifunike/ifungie kwenye chombo cha mbao ili kupata kitu bora
-iache humo miezi mwaka miaka juu yako
-Inapozidi kukaa ndio unapopata mvinyo bora zaidi.
Brew expert.
Kipimo cha nvinyo lita 2.
Hata chungu kinafaa pia
 
Nadhan sijasahau:
1.sukari 1.5kg
2.zabibu 3kg
3.amira 10g
4.maji safi 5lts
Chakufanya;
Ponda zabibu na chuja kupata juice yake alaf changanya kwny 5lts za maji. Weka sukari na Amira kwny mchanganyiko huo kisha weka kwny chombo ambacho hakitaruhusu hewa kuingia ndani bali kuruhusu gesi itakayozalishwa kwny mchanganyiko huo kutoka nje kirahisi. Kumbuka kuifadhi sehemu isiyo na mwanga.
Kila siku chuja kama tunavyo chuja maji ya kunywa yenye vumbi/tope litakalo tuama chini. Baada ya siku 3 utaanza kuona gesi ikitoka pamoja ile harufu pendwa ndani ya nyumba yako. Iwacha ijipike kwa at least siku 21 but the longer the better ila niwe mkweli sijawahi ivumilia zaidi ya siku 7 nainywa.
 
Upo Sahihi
Huko Ndiyo Kuna Viwanda Vya Mchuzi Wa Zabibu
Nimekaa mlowa,mkurabi,mpunguzi
Si unajua tena mm mzee wa vyombo
Nlikuwa namix wine na nyagi
Kuna diwani mmja huko alikuwepogi anaitwa Allan muda wote akinigumia napiga vyombo na nko kwenye mishe
Akanibazitaga jina muda wote
Utasikiaa wee mzee muda wote unatakata [emoji1]

Ova
 
Akiweka maji ya miwa ndio safi mkuu.
Ahh hapo safi kweli we mkemiaa
Kuna sehemu moja tanga juu milima ya usambara panaitwa masange,huko wana bia ya miwa aise tamu sana wanaiuza 300 bwana ehh bwana ehh
Bia hyo dunianiiii
Alafu gongo ya miwa sasa
Juu huko kuna breweries ya magumashi,hko hata siro vijana wake hawawezi fikaa [emoji1]
Nlikuwa naenda huko juu najipigigiliaa boha wenyewe wanaitaa naitNdikaaka za kutoshaa

Ova
 
Back
Top Bottom