Unawezaje kutofautisha weupe wa mwanamke aliyejikoboa na aliezaliwa nao

Kazanazo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
7,875
Reaction score
12,665
Japo mimi ni mpenzi wa black beuty lakini siku hizi manzi zinachanganya sana unaweza chukua manzi baada ya miezi kadhaa imebadirika rangi waweza jua jini kakutokea kumbe mchina kafanya yake

Tupeane dalili za manzi iliyojivua gamba wakuu ili kujinasua katika hili
 
Angalia maungio ya vidole na kiwiko hayo huwa hayadanganyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…