KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 4,132
- 5,108
Tizama miguu
Na kwenye mashavu au chini ya macho jua la kuanzia saa6 likiwawakia wanakuwa wekundu balaa😅Tizama miguu
Sasa mtu anajichubua yeye kama yeye, hapo utapeli unaingiaje?Uzi hautatembea kabisa huu, wakoboaji watapita like :
View attachment 3673381
Wadada zama hizi wamezidi catfishing, utapeli tuu.
mchape kofi tuu...... show yake utaipenda😂😂😂😂Japo mimi ni mpenzi wa black beuty lakini siku hizi manzi zinachanganya sana unaweza chukua manzi baada ya miezi kadhaa imebadirika rangi waweza jua jini kakutokea kumbe mchina kafanya yake
Tupeane dalili za manzi iliyojivua gamba wakuu ili kujinasua katika hili
Sehemu ya mashavu ya uke haibadiliki, inabaki nyeusi kwa aliyejichubua, aliye mweupe wa asili inakuwa nyeupeJapo mimi ni mpenzi wa black beuty lakini siku hizi manzi zinachanganya sana unaweza chukua manzi baada ya miezi kadhaa imebadirika rangi waweza jua jini kakutokea kumbe mchina kafanya yake
Tupeane dalili za manzi iliyojivua gamba wakuu ili kujinasua katika hili