Unawezaje kutofautisha weupe wa mwanamke aliyejikoboa na aliezaliwa nao

Unawezaje kutofautisha weupe wa mwanamke aliyejikoboa na aliezaliwa nao

Japo mimi ni mpenzi wa black beuty lakini siku hizi manzi zinachanganya sana unaweza chukua manzi baada ya miezi kadhaa imebadirika rangi waweza jua jini kakutokea kumbe mchina kafanya yake

Tupeane dalili za manzi iliyojivua gamba wakuu ili kujinasua katika hili
Mikunjo ya vidole,miguu makebo yanabaki meusi!
 
Wanachanganya sana kwa kuwaangalia tu
Labda kama ni learner wa rangi nyeupe, ila kama ni legend ukiona sehemu yoyote ya mwili wake hata kama ataficha makovu utamjua tu.

Kwahiyo legends huwa hawatumii VAR kujua man made, ila kwa kukusaidia tu ambaye sio mwenyeji kwenye rangi hizo angalia sehemu za maungio kama vile viwiko, magoti, pingili za vidole na mdomomi pamoja na sehemu za ndani za pua huwa zina rangi tofauti na sehemu zingine za mwili kwa kuachana kwa mbali sana.

Hiyo itakusaidia kuwatambua wanaotumia vipodozi vya bei nafuu kujipatia rangi ya kudownload. Ila wanaotumia vipodozi vya ghali kidogo hizo sehemu wanaweza kujitahidi kuzingarisha, ila veins huwa zinawasaliti, ngozi kuwa nyepesi, sambamba na kutokwa na jasho jepesi mara kwa mara. Ukifanikiwa kwenda naye faragha sehemu za makalio na strait of hormuz huwa hazina unafki wa kukutonya kuwa hii rangi imekuwa downloaded
 
Japo mimi ni mpenzi wa black beuty lakini siku hizi manzi zinachanganya sana unaweza chukua manzi baada ya miezi kadhaa imebadirika rangi waweza jua jini kakutokea kumbe mchina kafanya yake

Tupeane dalili za manzi iliyojivua gamba wakuu ili kujinasua katika hili
Unamzaba kibao cha uso, kama amepaka/kuweka puti utapatapa majibu papo kwa hapo mkuu
 
Uzi hautatembea kabisa huu, wakoboaji watapita like :

yinmu-sneering.gif


Wadada zama hizi wamezidi catfishing, utapeli tuu.
 
Back
Top Bottom