Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Mikunjo ya vidole,miguu makebo yanabaki meusi!Japo mimi ni mpenzi wa black beuty lakini siku hizi manzi zinachanganya sana unaweza chukua manzi baada ya miezi kadhaa imebadirika rangi waweza jua jini kakutokea kumbe mchina kafanya yake
Tupeane dalili za manzi iliyojivua gamba wakuu ili kujinasua katika hili
Labda kama ni learner wa rangi nyeupe, ila kama ni legend ukiona sehemu yoyote ya mwili wake hata kama ataficha makovu utamjua tu.Wanachanganya sana kwa kuwaangalia tu
Wapo Bado MKUU wanajichubua!Acheni ushamba na nyie, siku hizi wanawake hawajichubui, wanatumia skin care ngozi ina glow
Unamzaba kibao cha uso, kama amepaka/kuweka puti utapatapa majibu papo kwa hapo mkuuJapo mimi ni mpenzi wa black beuty lakini siku hizi manzi zinachanganya sana unaweza chukua manzi baada ya miezi kadhaa imebadirika rangi waweza jua jini kakutokea kumbe mchina kafanya yake
Tupeane dalili za manzi iliyojivua gamba wakuu ili kujinasua katika hili
Kijichubua sio kosa ni uamuzi wa mtu tuWapo Bado MKUU wanajichubua!
Wala, Kujichubua ni mindset ya kitumwa inaweza ikamuingia mtu yeyote anayetokea familia yoyote.Mwanamke anayejichubua ni kama kalaanika. Na wengi wao ni kutoka familia maskini.
Natural + glow lotion 🔥Hako kangozi kako (kwenye dp) ni natural mrembo au umeglow (jokes)
HahahaaaaYah! Nakubali karembo sana ww sijui nitumie mtego gani wavu au punje za mahindi (mpunga)?😃😃
Unaelewa nini ninaposema "wengi wao"?Wala, Kujichubua ni mindset ya kitumwa inaweza ikamuingia mtu yeyote anayetokea familia yoyote.
Nani anajua kuwa waarabu wa arabuni wanajichubua pia?
Mchubuko wa vipodozi kwa sisi ma-legend tunajua hata afiche namna gani. Weupe wake unang'aa kama ''tiles''Utatofautisha vipi aliglow ngozi yake na ambae ngozi yake ni nyeupe asilia
Nimekuelewa.Unaelewa nini ninaposema "wengi wao"?