Unawezaje kutumia VPN kwenye simu ya Android? Nini faida zake?

nimeziona nyingi hapo ipi ni the best...nipatie nembo yake..
 
Yeah we anza kula maisha, si funguo iemonekana opposite na upande wa saa hapo kwenye simu?
 
nimeweka mbili na server nchi tofauti...kuna ubaya? kwa hiyo hata niki.....m..tukna.. baba yao kama yule jamaa wa a.town siwezi kamatwa?
 
nimeweka mbili na server nchi tofauti...kuna ubaya? kwa hiyo hata niki.....m..tukna.. baba yao kama yule jamaa wa a.town siwezi kamatwa?
Kabla huja fanya unachotaka kwanza tumia Id nyingine.
 
Aisee nilikuwa nmepumzika mkuu, kuhusu swala la ku access internet ni lazma upewe access na Internet Service Provider (ISP) wako. ISP wetu ndio hawa Vodacom Tz, MIC Tanzania Ltd (Tigo na Zantel), Viettel Tz(Halotel), Airtel Tz.
So moja kati ya hao lazma uwe na bando lake na internet access, VPN client atakuwezesha kukupa IP address feki tu na sio internet ya bure
 
Kwahiyo ukishaweka vpn inabidi ufungue na account nyingine za mitandao? Je vpn inaweza inafanya kazi kwenye browser tu au hata app kama hii ya jf? Vipi kuhusu free VPN nzuri na ubora wake, na unawezaje kuwa na uhakika kwamba uko safe baada ya kuinstall VPN?
Cc: CHIEF MKWAWA, Mwl. Rct, Njunwa wa mavoko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…