Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
π sasa mwanamke anaekunyima mbususu wanini kuishi nae? Mwsho wa siku upate changamoto ya afya ya akili bureπ€£π€£π€£π€£ hatare
Kumaanisha niniiii?πYaani wali na kisamvu cha nazi wee huli
Sielewi mwaafiikiria tofauti na Mimi π€ͺKumaanisha niniiii?π
π huyo ndo mluguru.Wiki moja
We wafikiria kisamvu cha nazi tu π€Sielewi mwaafiikiria tofauti na Mimi π€ͺ
Ndio au Cha karangaπWe wafikiria kisamvu cha nazi tu π€
π situmiagiNdio au Cha karangaπ
Sawa ππ situmiagi
Amekupima akaona hata kwa kiganja hujaiNamaliza mwaka na miezi kadhaa bila sex kutoka kwa mke wangu, ujauzito ulipokaribia miezi 5 aliomba tuache kusex na akajifungua, Sasa mwaka umeisha tangu tuacha kusex
Mtoto ana mwaka na miezi kadhaa lakini wife anadai hatuwezi kusex kwa sababu atapata ujauzito mwingine nikamuuliza unaona tuanze kuanzia lini akasema bora mtoto afikishe miaka miwili
Nilipomwambia atumie uzazi wa mpango akadai unaharibu mwili na kusababisha magonjwa
Nilipomwambia tutumie kondomu anadai ana allergies na kondom na hawezi kutumia..
Najiuliza hivi nyie mlio katika ndoa hili swala huwa mnalifanyaje au mnasubiri miaka miwili kweli au mnatumia njia gani ?
Muda mwingine nawaza kuwa na mchepuko lakini naona ni dhambi kumsaliti wife
Ushauri wenu tafadhali
Wewe umesema unatoa mbele na nyuma ama siyo?Sielewi mwaafiikiria tofauti na Mimi π€ͺ
Ayaaa [emoji2211]Kama umependwa wala wamsumbuani wapewa tu hadi kisamvu
Kwa wazee kufanya nn wewe hilo tatizo anamaliza mwenyewe tu.Dah! Ila hii dunia wanaume tunapitia shida nyingi sana...bro watafute wazee mkae kikao mtatue hiyo shida...hata dogo sio wako ndugu..
Amejuaje kama ana allergy na condom? Ushaliwa kenge weweNamaliza mwaka na miezi kadhaa bila sex kutoka kwa mke wangu, ujauzito ulipokaribia miezi 5 aliomba tuache kusex na akajifungua, Sasa mwaka umeisha tangu tuacha kusex
Mtoto ana mwaka na miezi kadhaa lakini wife anadai hatuwezi kusex kwa sababu atapata ujauzito mwingine nikamuuliza unaona tuanze kuanzia lini akasema bora mtoto afikishe miaka miwili
Nilipomwambia atumie uzazi wa mpango akadai unaharibu mwili na kusababisha magonjwa
Nilipomwambia tutumie kondomu anadai ana allergies na kondom na hawezi kutumia..
Najiuliza hivi nyie mlio katika ndoa hili swala huwa mnalifanyaje au mnasubiri miaka miwili kweli au mnatumia njia gani ?
Muda mwingine nawaza kuwa na mchepuko lakini naona ni dhambi kumsaliti wife
Ushauri wenu tafadhali
Kwa makisio yako, kwahiyo kama 2000 alafu JF nikajiunga nikiwa na miaka 11 au vipi? so great πHalafu unaweza kukuta ni mtoto wa 2000 anamuita mjomba wa 1982 fala!
JF raha sana!