Unawezaje kuvumilia miaka 2 bila sex kwa mke wako

Unawezaje kuvumilia miaka 2 bila sex kwa mke wako

Namaliza mwaka na miezi kadhaa bila sex kutoka kwa mke wangu, ujauzito ulipokaribia miezi 5 aliomba tuache kusex na akajifungua, Sasa mwaka umeisha tangu tuacha kusex

Mtoto ana mwaka na miezi kadhaa lakini wife anadai hatuwezi kusex kwa sababu atapata ujauzito mwingine nikamuuliza unaona tuanze kuanzia lini akasema bora mtoto afikishe miaka miwili
Nilipomwambia atumie uzazi wa mpango akadai unaharibu mwili na kusababisha magonjwa

Nilipomwambia tutumie kondomu anadai ana allergies na kondom na hawezi kutumia..
Najiuliza hivi nyie mlio katika ndoa hili swala huwa mnalifanyaje au mnasubiri miaka miwili kweli au mnatumia njia gani ?

Muda mwingine nawaza kuwa na mchepuko lakini naona ni dhambi kumsaliti wife

Ushauri wenu tafadhali
Amekupima akaona hata kwa kiganja hujai
 
Ukute hiyo mbususu wala haina maajabu ni vile tu anataka kukuweka roho juu.

Kamata pusi nje zipo za kutosha tu jipigie rudi home tulia asubiri yy hiyo miaka minne

Kama kuna boya huko nje zinambutua shauri yake atajua mwenyewe kwani mwanamke akiamua kulisha nje hakuna men ataweza zuia..

Usiitafute pressure ya bure 34 bado umri mdogo sn.
 
Namaliza mwaka na miezi kadhaa bila sex kutoka kwa mke wangu, ujauzito ulipokaribia miezi 5 aliomba tuache kusex na akajifungua, Sasa mwaka umeisha tangu tuacha kusex

Mtoto ana mwaka na miezi kadhaa lakini wife anadai hatuwezi kusex kwa sababu atapata ujauzito mwingine nikamuuliza unaona tuanze kuanzia lini akasema bora mtoto afikishe miaka miwili
Nilipomwambia atumie uzazi wa mpango akadai unaharibu mwili na kusababisha magonjwa

Nilipomwambia tutumie kondomu anadai ana allergies na kondom na hawezi kutumia..
Najiuliza hivi nyie mlio katika ndoa hili swala huwa mnalifanyaje au mnasubiri miaka miwili kweli au mnatumia njia gani ?

Muda mwingine nawaza kuwa na mchepuko lakini naona ni dhambi kumsaliti wife

Ushauri wenu tafadhali
Amejuaje kama ana allergy na condom? Ushaliwa kenge wewe
 
Hapo huna mke , unafeli vubaya sana, ila WAPO wanawake wa hivyo akiwa ananyonyesha hataki kabisa kuguswa nilishawahi kukutana na mwanamke wa hivyo kazini kwangu nae alikuwa akizaa tu Mume hapewi mpaka mtoto aache kunyonya yeye alikuwa anaamini kwamba akisex ataharibu mtoto Sasa Mume akawa na vimada kibao ndio akawa anaomba ushauri anafika ofisini akiwa analia baada ya kuzozana na vimada nikamwambia hilo tatizo ni lako unamnyima unyumba Mume miaka 2 halafu unatarajia Nini?
 
Mimba na Uzazi huja na mabadiriko kwenye mwili wa Mwanamke.

Wapo ambao mabadiriko huwafanya wakinai kufanya tendo hata Miezi 12 hata zaidi.

Nadhani Saikolojia inahitajika kumuweka sawa.

Kawaida Mwanamke akishajifungua huhitaji miezi 3 hivi kuweza kuanza kushiriki tendo na Mpenzi/Mume wake.

Experience yangu kwenye hili ni wakati Wife amebeba mimba ya pili.

Nilianza kunyimwa tendo tangu Ujauzito ukiwa na miezi 5.

Nilikaa kwenye hiyo hali hadi mtoto alipozaliwa na kufikisha miezi 6 ndiyo nikaanza kupewa.

Katika kipindi chote cha miezi 10 hivi, nilijikuta najichua sana.

I masturbate twice almost every week.

Baada ya kuona sifurahii masterbation, I opted to have a side chick.

Kusema kweli huyu alinisaidia sana kuweza kunituliza.

Siku Moja weekend, nilimtoa Wife out tukaenda hotel fulani Mjini tukiwa na kichanga chetu cha miezi 6 hivi.

Hiyo outing ndiyo ikafanya nione ndani baada ya miezi 10 ya kupigishwa deshi.

Sio Wanaume wote hupenda kuchepuka, ila ni vile tutafanyaje.

Imagine Mimi nisiyekunywa Pombe na Sina tatizo lolote la kiafya, hivi kweli nitavumilia Mwaka mzima bila kuona ndani?
 
Back
Top Bottom