Unawezaje kuvumilia miaka 2 bila sex kwa mke wako

Miaka miwili asee bila kurusha wareno!? Hata kama ni jela unaweza ukajifanya maradona mkononi!
Kama haupendi maneno mingi tafuta mama ingine ufurahie uanaume wako
Mwanaume bila kudinya unaweza geuka upinde
 
Hahahahaha
Hakyamama.

Mwenzetu kabla hujaoa uliwahi kupata kuwafahamu wanawake?

Kiufupi anaogopa utambemenda mtoto kwa sababu siyo mwanao.

Kapime DNA kisha uje hapa kutupa matokeo
 
Usikute umeoa mwanasheria au li~feminist promax mkuu maana si kawaida,wenzako tunatindua mbunye tangu day one ya mimba hadi siku anajifungua na akipona tu ngoma inaendelea ili kuyarutubisha maziwa sasa kwako aidha mwanamke kakutawala au umeendekeza diplomasia na mambo ya honey,sweet mara beib matokeo yake ndo hayo!ukwl ni kwamba kuna jamaa anamtindua mkeo,full stop!
 
Muda mwingine nawaza kuwa na mchepuko lakini naona ni dhambi kumsaliti wife... Acha utoto.

Badilisha ratiba yako hasa ya kurudi nyumbani hakikisha unachelewa, ikitokea umewahi nyumbani ondoka mida mibaya na uchelewe kurudi. Usimuombe tendo. Zoezi hili fanya kwa mwezi mzima uone kama atajihisi tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…