Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ipi mkuuHajaamua zipo njia za asili wala hazina madhara ila nikupe kongole miaka 2, Unapepo yako Kama ni kweli.
Fala kweli wewe, fikiria kwanini nimekwambia wewe ni falaNamaliza mwaka na miezi kadhaa bila sex kutoka kwa mke wangu, ujauzito ulipokaribia miezi 5 aliomba tuache kusex na akajifungua, Sasa mwaka umeisha tangu tuacha kusex
Mtoto ana mwaka na miezi kadhaa lakini wife anadai hatuwezi kusex kwa sababu atapata ujauzito mwingine nikamuuliza unaona tuanze kuanzia lini akasema bora mtoto afikishe miaka miwili
Nilipomwambia atumie uzazi wa mpango akadai unaharibu mwili na kusababisha magonjwa
Nilipomwambia tutumie kondomu anadai ana allergies na kondom na hawezi kutumia..
Najiuliza hivi nyie mlio katika ndoa hili swala huwa mnalifanyaje au mnasubiri miaka miwili kweli au mnatumia njia gani ?
Muda mwingine nawaza kuwa na mchepuko lakini naona ni dhambi kumsaliti wife
Ushauri wenu tafadhali
Naomba unambieFala kweli wewe, fikiria kwanini nimekwambia wewe ni fala
Naunga mkono hoja Hana hisia na mumeweMtazamo
Mkeo hana mapenzi na wewe, jaribu kupeleleza kuna jamaa anakusaidia majukumu.
Mwanamke akizaa hisia za kushiriki zina ongezea na ladha pia tofauti na mwanzo.
Kama dini Ina ruhusu ongeza mke wa pili.
Na huyo mkewe ni wewe, msitunyime tafadhali.Kuna huyo jamaa alinyimwa alimbaka mkewe 🤭
Mimi mwanamke siwezi kaa mwezi bila tendo labda awe kasafiri. Sembuse mwanaume mgh😅 miaka 2,Unahisi haiwezekani?
Mbona mimi naweza miaka 2Mimi mwanamke siwezi kaa mwezi bila tendo labda awe kasafiri. Sembuse mwanaume mgh😅 miaka 2,
🤔Mbona mimi naweza miaka 2
Nini mamii?
Kabisa yaani labda mume kuna kitu ana mkera mkewe na hajaweka wazi,Naunga mkono hoja Hana hisia na mumewe
Sina uhakika,nimepata wasiwasi naweNini mamii?
Kipindi nakua nilikuwa najiuliza kwanini watu huchepuka ila sasa nayapata majibu kwa experience, 2 yrs na unaishi na mtu ndani kwanini usichepuke?Wanaume wanatia huruma humo kwenye ndoa balaa
Mtoto wa simba hafundishwi kuumaMuda mwingine nawaza kuwa na mchepuko lakini naona ni dhambi kumsaliti wife
Kwanini upate wasiwasi nami?Sina uhakika,nimepata wasiwasi nawe
Jipe hata dakika tano ufikirie bandiko lako na kwanini nimekwambia hivyo nilivyokwambia. Kinachomkamilisha mwanaume ni uwezo wa kufikiri na kufanya maamuzi yenye tija ili kurekebisha na kujenga upande wake na wamzungukao. FikiriaNaomba unambie
🤣🤣🤣 Wee sio MimiNa huyo mkewe ni wewe, msitunyime tafadhali.