BEZO
JF-Expert Member
- Jul 15, 2023
- 1,770
- 4,449
Mgogoro wenu mlimaliza??
www.jamiiforums.com
Mpe ushauri huyu kijana ili aufanyie kazi
Mwaka 2020 June alifunga ndoa ya kidini katika kanisa la kisabato na binti wa umri wa miaka 20 yeye akiwa na 26.Mwaka mmoja baadae huyo mwanamke akapata ujauzito. Akiwa kwenye ujauzito wa miezi 5 alianza mgogoro, akidai mume wake hafai ni mshamba,hajui mapenzi, hajui kumhandle na visababu...