Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,373
- 6,532
Kweli mkuuTatizo la silaa unanunua ili ikulinde matokeo yake unailinda. Unageuka kuwa mlinzi.
Ni Kama wale washauri wa museveni anavyo washaurigi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuuTatizo la silaa unanunua ili ikulinde matokeo yake unailinda. Unageuka kuwa mlinzi.
Ni Kama wale washauri wa museveni anavyo washaurigi.
Hasira hasara.Aisee Jamaa kaamua kuwarudia baada ya kuona ile ya kwanza haitoshi. Inaonekana walikua couple, R.I.P.
Kwa Marekani FBI wana the most sophisticated forensic laboratory, zinakua enhanced kila mtu anajulikana.Cold blooded killer! Nje ya mada, sasa hizi CCTV za aina hii zina msaada gani maanake huwezi kuzitumia kumtambua mhusika?
Okay.Kwa Marekani FBI wana the most sophisticated forensic laboratory, zinakua enhanced kila mtu anajulikana.
Marekani kuna bunduki zaidi ya milioni 30, unataka kusema hao FBI wanatambua risasi za bunduki tofauti milioni 30. Kwamba kila anayetengeneza risasi anaifanya tofauti na ni lazima ununue risasi aina ileile na sehemu ileile siku zote ili FBI wakujue. Hauko seriousKwa Marekani FBI wana the most sophisticated forensic laboratory, zinakua enhanced kila mtu anajulikana.
Alijiua na yeyeKumpata ni rahisi, risasi zina Reg number. Hajakumbuka kutoa maganda. Ni Rahisi sana kumpata. Anastahili adhabu nzito sana huyu.
Huyo mtu ukisoma news alijiua na yeye baada ya kuwaua hao watu wengine.Aisee! Maganda yatasaidia kujua ni bunduki aina gani imetumika na sio rahisi kujua ya nani kwasababu zinauzwa nyinyi kwa watu tofauti. Wapo wanaonunua kihalali wapo wanaonunua kimagendo. Kumpata huyo mtu si rahisi kisa umepata maganda ya risasi ingekuwa hivyo wauaji wengi sana wangepatikana.
Huwezi kuelewa. Jielimishe zaidi ukija hapa unapata nyongeza ya elimu.Marekani kuna bunduki zaidi ya milioni 30, unataka kusema hao FBI wanatambua risasi za bunduki tofauti milioni 30. Kwamba kila anayetengeneza risasi anaifanya tofauti na ni lazima ununue risasi aina ileile na sehemu ileile siku zote ili FBI wakujue. Hauko serious
Bunduki milioni 30 ndani ya US zinamiliki mamilioni ya risasi, yani hapo si chini ya walau risasi milioni 250. Kwamba kila risasi moja iliyotengenezwa Alkansas, ikauzwa Minneapolis na ikatumika Nashville itajulikana nani aliitumia. Watajua aina ya risasi ila sio kujua mtumiaji kupitia kwenye batch ya risasiHuwezi kuelewa. Jielimishe zaidi ukija hapa unapata nyongeza ya elimu.
Huyu kama ni Marekani hachukui dk kukamatwa wanaenda kucheza na fingerprint tu....Aisee! Maganda yatasaidia kujua ni bunduki aina gani imetumika na sio rahisi kujua ya nani kwasababu zinauzwa nyinyi kwa watu tofauti. Wapo wanaonunua kihalali wapo wanaonunua kimagendo. Kumpata huyo mtu si rahisi kisa umepata maganda ya risasi ingekuwa hivyo wauaji wengi sana wangepatikana.
Ukiangalia vizuri huyo dada naye alitoa silaha sasa sijajua ni woga wa kushoot au haikuwa loaded. Ila mwisho wa siku jamaa naye alijiua kwa kujipiga risasiKwa akili yao alizan hawez washoot,kapga kawakosa hata hawajakimbia,Kuna watu wanamatatzo vichwan,muda MWINGNE n vizur kuepuka maugomvi ya kawaida
Utakamatwa tu yaani huchukui hata siku dk kumi watakuwa wamesha kutambua..Bunduki milioni 30 ndani ya US zinamiliki mamilioni ya risasi, yani hapo si chini ya walau risasi milioni 250. Kwamba kila risasi moja iliyotengenezwa Alkansas, ikauzwa Minneapolis na ikatumika Nashville itajulikana nani aliitumia. Watajua aina ya risasi ila sio kujua mtumiaji kupitia kwenye batch ya risasi
Una reasoning ndogo sana kuna scenario mbiliKwa akili yao alizan hawez washoot,kapga kawakosa hata hawajakimbia,Kuna watu wanamatatzo vichwan,muda MWINGNE n vizur kuepuka maugomvi ya kawaida