Unayependa kumiliki silaha angalia hili tukio kisha jiulize unaweza kuwa mvumilivu?

Unayependa kumiliki silaha angalia hili tukio kisha jiulize unaweza kuwa mvumilivu?

Ndiyo. Huu mgogoro umekuwa unaojirudia rudia kipindi cha winter wakati theluji inapoanguka. Ndiyo maana siku zote wanasema hata kama ni mke wako, ukiona kila siku mnatunishiana misuli na hakuna anayetaka kuwa mdogo ni bora muachane kabla hayatokea mabaya.
Kuna wakati fulani kuna majirani walitandikana kwa kutumia chepe [emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Hii habari imeenea sana kwenye vyombo vya habari. Ni mgogoro wa kuondoa theluji. Anadai walikuwa wanaiweka kwenye eneo lake. Na inasemekana huu ugomvi umekuwepo mara kwa mara kipindi cha winter. Anyways wanasema siku zote mtu jaribu ku-avoid confrotation hata kama umeudhiwa. Kuna watu wakikasirika akili zote zinawatoka.

When I walk away from a confrontation I ain't scared of you I'm scared of me ,I got a gun, you don't. -Camron

Kumpata ni rahisi, risasi zina Reg number. Hajakumbuka kutoa maganda. Ni Rahisi sana kumpata. Anastahili adhabu nzito sana huyu.
Umewasikia hao wafu walivyokuwa wanamtukana? Tena hicho kimama kinamtukana na kumwambia awaue?? Sasa kama kapeleka maombi mwenyewe ulitaka jamaa amnyime?
Jamaa hana hata wasiwasi amerudi home kwake awangoje polisi
 
huyo ni mgonjwa wa akili.

ukiishaona mtu ana masilaha mawili mawili ujue kuna tatizo kichwani.

tayari aliishakuwa na dosari kichwani ndio sababu hata yeye kajiua.

ndio maana huwa nasema kwenye hili la silaha bado tumewaacha wazungu mbali kwenye kupanga,lazima mtu atazamwe mienendo yake kabla ya kuuzisa silaha.
 
Bunduki milioni 30 ndani ya US zinamiliki mamilioni ya risasi, yani hapo si chini ya walau risasi milioni 250. Kwamba kila risasi moja iliyotengenezwa Alkansas, ikauzwa Minneapolis na ikatumika Nashville itajulikana nani aliitumia. Watajua aina ya risasi ila sio kujua mtumiaji kupitia kwenye batch ya risasi
Hata kama ni bunduki 50mil ,kwa marekani, kama imenunuliwa kwa kufuata taratibu ,risasi moja iliyolipuliwa toka kwenye silaha halali ni traceable, watajua ni silaha gani iliyotumika, mmiliki utahitajika kuthibitisha sio wewe ulieitumia wakati inalipuliwa, nayo ni shughuli pevu, technology iko juu sana kule
 
huyo ni mgonjwa wa akili.

ukiishaona mtu ana masilaha mawili mawili ujue kuna tatizo kichwani.

tayari aliishakuwa na dosari kichwani ndio sababu hata yeye kajiua.

ndio maana huwa nasema kwenye hili la silaha bado tumewaacha wazungu mbali kwenye kupanga,lazima mtu atazamwe mienendo yake kabla ya kuuzisa silaha.
Si kila mtu, wengine tunazo miaka zaidi ya 30 na hatujawahi kuua ntu.
 
Kumiliki silaha na za moto na kuua ni vitu viwili tofauti,wengine huku wameuana kwa mapanga,marungu na visu,bado kumiliki silaha haiwi sababu ya kufanya mauaji.

Silaha haziuwi Bali watu ndio wanauwa
Kweli kabisa neno lako
 
jamaa kajiua na yeye.walau ungekua hai apate maumivu na mateso
Yap. Maamuzi mengi mtu ukishafanya ndio unajutia. Alikuwa na hasira na urahisi wa kuwaua na silaha zake ndio ukaleta hayo. Pia jamaa kichwa yake ni mental case. Ila angeishi angkuja juta sana
 
Jamaa hajazungumzia mambo ya maganda ya risasi hapo ndipo shida ilipo.

Hebu twende kwenye mada; hivi hivi waswahili tukiwa na haya mavitu uvumilivu kwa majirani zetu nk, utakuwepo wa kutosha?.
Waswahili wanaorusha maji machafu barabarani kwa wapita njia, wenye vyeo na kutishia unajua mimi ni nani. Hawa ukiwapa silaha wote tutakuwa Kandahar au Kunduz.
 
Back
Top Bottom