Tall Guy fam
JF-Expert Member
- Jan 16, 2017
- 917
- 1,093
Inaonyesha jamaa ni jirani yao kwa hiyo anapoishi panajulikana. Mwili wake umeonekana, sauti imesikika na pia kuna mashuhuda. Bado hujagusa vitu technical kama maganda ya risasi etc. Muuaji lazima atatambulika.Cold blooded killer! Nje ya mada, sasa hizi CCTV za aina hii zina msaada gani maanake huwezi kuzitumia kumtambua mhusika?
Muuaji nae alijipiga risasi baada ya kuuaA US man shot dead a couple living next to him before turning the gun on himself after an argument over the shovelling of show, according to an NBC report.
The double murder and suicide happened in Pennsylvania on Monday morning.
It started when the married couple, James and Lisa Goy, shovelled snow from their parking spots and dumped the snow into Jeffrey Spaide's yard, sparking an argument that escalated into the deadly shooting.
CCTV footage shows Spaide going inside his home after the couple hurled insanities at him. He returned with a handgun, shot both the Goys, then went back into his house and emerged with a rifle to continue the shooting.
Daily Mail reported that Spaide told Lisa Goy, as he pulled the final trigger: "You should have kept your mouth shut."
NBC News reported Spaide shot himself in his home shortly afterwards and prosecutors are ruling the triple shooting as a murder-suicide.
Zinaweza kuwa na Reg number lakini huko wenzetu wanajinunulia tu kama njugu.Kumpata ni rahisi, risasi zina Reg number. Hajakumbuka kutoa maganda. Ni Rahisi sana kumpata. Anastahili adhabu nzito sana huyu.
Sawa, nimeelewa, nilishangaa usikie mlio wa bunduki usikimbie!Una reasoning ndogo sana kuna scenario mbili
1)moja unachokiona kwenye CCTV sio clear kama reality sauti inaweza kuwai ndio ukaona reaction/action ila in reality vilienda sambamba
2)Tukio limetokea Quickly time inayochukua kua aware kabla wajawa aware shooter kashawapiga risasi nyingi na kuwapata.
Kuna "clues" zinatumika kumtambua kama Posture zake, build ya mwili, jinsi anavyotembea, mlio wa silaha kama hivyo, kwa kutumia kumbukumbu za hayo magari yaliyokuwepo hapo kwa wakati huo pia unaweza kupata taarifa zaidi ambazo katoka Mahakama huko walikoendelea zinakubalika kama ushahidi na pia inasaidia kufanyia graduation mtu kutoka kwenye Person of Interest kuwa suspect(Kwa maana hiyo hizo taarifa zinasaidia elimination)Cold blooded killer! Nje ya mada, sasa hizi CCTV za aina hii zina msaada gani maanake huwezi kuzitumia kumtambua mhusika?
Yes walikuwa couple.Aisee Jamaa kaamua kuwarudia baada ya kuona ile ya kwanza haitoshi. Inaonekana walikua couple, R.I.P.
Mkuu alichoandika underboss hujamuelewa hebu jipe elimu badala ya kukurupuka kujibu.Marekani kuna bunduki zaidi ya milioni 30, unataka kusema hao FBI wanatambua risasi za bunduki tofauti milioni 30. Kwamba kila anayetengeneza risasi anaifanya tofauti na ni lazima ununue risasi aina ileile na sehemu ileile siku zote ili FBI wakujue. Hauko serious
Hakuna ninakokurupuka. Marekani haiwezi shindwa kujua raia, hao hata shit countries zipo zinaowajua wote.Mkuu alichoandika @Underboss hujamuelewa hebu jipe elimu badala ya kukurupuka kujibu.
[emoji1484]
"...FBI wana the most sophisticated forensic laboratory, zinakua enhanced kila mtu anajulikana."
Kwa kukusaidia ni kwamba, Amerika raia karibia wote wanafamika na taasisi ya ulinzi ya taifa sababu wanakuwa wamesajiliwa kwa sura, vidole nk, so hata ikiwa maiti ni rahisi kuijua.
Jamaa hajazungumzia mambo ya maganda ya risasi hapo ndipo shida ilipo.Hakuna ninakokurupuka. Marekani haiwezi shindwa kujua raia, hao hata shit countries zipo zinaowajua wote.
Ninachotaka kujua ni vipi wanatambua mfano hii risasi ya .45 ACP pichani waikute imedondoka chini watajua nani kaidondosha? Na vipi ikiua mtu watajua nani kaitumia.
Achana na mambo ya kupima fingerprints na kutafuta CCTV footages. Wakutane na ganda la risasi au risasi mwilini, hakuna track yoyote watumie risasi hiyo kujua ni nani aliitumia. How? View attachment 1696719
Chanzo huyo mme na mke walikuwa wanatoa barafu wanamrushia kwakeWazungu wana hasira za kijinga tutusi tudogo hivyo unamuua mtu? Angekuwa buza mtu unakodishiwa bendi ya wasutaji na sare zao juu si angeua mtaa mzima?
Hii habari imeenea sana kwenye vyombo vya habari. Ni mgogoro wa kuondoa theluji. Anadai walikuwa wanaiweka kwenye eneo lake. Na inasemekana huu ugomvi umekuwepo mara kwa mara kipindi cha winter. Anyways wanasema siku zote mtu jaribu ku-avoid confrotation hata kama umeudhiwa. Kuna watu wakikasirika akili zote zinawatoka.Duuuuh inasikitisha aiseee jamaa kaona bastola haitoshi kaja kumaliza na SMG,Tatizo ni nini hasa maana nimeona jamaa na mkewe wanaondoa seluji ili waondoe gari yao.
Ndiyo. Huu mgogoro umekuwa unaojirudia rudia kipindi cha winter wakati theluji inapoanguka. Ndiyo maana siku zote wanasema hata kama ni mke wako, ukiona kila siku mnatunishiana misuli na hakuna anayetaka kuwa mdogo ni bora muachane kabla hayatokea mabaya.Chanzo huyo mme na mke walikuwa wanatoa barafu wanamrushia kwake
Ila hao majirani inaelekea kitambo walikuwa hawana maelewano mazuri
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Aisee! Maganda yatasaidia kujua ni bunduki aina gani imetumika na sio rahisi kujua ya nani kwasababu zinauzwa nyinyi kwa watu tofauti. Wapo wanaonunua kihalali wapo wanaonunua kimagendo. Kumpata huyo mtu si rahisi kisa umepata maganda ya risasi ingekuwa hivyo wauaji wengi sana wangepat
Zitakuwa na msaada wa kujua mlolongo mzima wa tukio. Anyways na yeye alijiua kwa hiyo kesi ni kama imeisha.Cold blooded killer! Nje ya mada, sasa hizi CCTV za aina hii zina msaada gani maanake huwezi kuzitumia kumtambua mhusika?
Kwahiyo hayo matusi waliyokuwa wanamporomoshea jamaa wewe hujayasikia au?Duuuuh inasikitisha aiseee jamaa kaona bastola haitoshi kaja kumaliza na SMG,Tatizo ni nini hasa maana nimeona jamaa na mkewe wanaondoa seluji ili waondoe gari yao.
Zinakua loaded na AI -Artificial Intelligence,,kwahiyo zina software inayorecord muondoko wa mtu,yaani namna unavotembea (gait) na pia voice recognizing software ambayo inaweza kumark sauti na kuserch katika record ama kutrack katika maongezi ya simu mbalimbali na kupata kumatchishaCold blooded killer! Nje ya mada, sasa hizi CCTV za aina hii zina msaada gani maanake huwezi kuzitumia kumtambua mhusika?