Unayependa kumiliki silaha angalia hili tukio kisha jiulize unaweza kuwa mvumilivu?

Kuna wakati fulani kuna majirani walitandikana kwa kutumia chepe [emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 

When I walk away from a confrontation I ain't scared of you I'm scared of me ,I got a gun, you don't. -Camron

Your browser is not able to display this video.
 
Kumpata ni rahisi, risasi zina Reg number. Hajakumbuka kutoa maganda. Ni Rahisi sana kumpata. Anastahili adhabu nzito sana huyu.
Umewasikia hao wafu walivyokuwa wanamtukana? Tena hicho kimama kinamtukana na kumwambia awaue?? Sasa kama kapeleka maombi mwenyewe ulitaka jamaa amnyime?
Jamaa hana hata wasiwasi amerudi home kwake awangoje polisi
 
Umewasikia hao wafu walivyokuwa wanamtukana? Tena hicho kimama kinamtukana na kumwambia awaue?? Sasa kama kapeleka maombi mwenyewe ulitaka jamaa amnyime?
Jamaa hana hata wasiwasi amerudi home kwake awangoje polisi
huyo ni mgonjwa wa akili.

ukiishaona mtu ana masilaha mawili mawili ujue kuna tatizo kichwani.

tayari aliishakuwa na dosari kichwani ndio sababu hata yeye kajiua.

ndio maana huwa nasema kwenye hili la silaha bado tumewaacha wazungu mbali kwenye kupanga,lazima mtu atazamwe mienendo yake kabla ya kuuzisa silaha.
 
Kweli kabisa unakumbuka maeneo ya Mbezi Chini ,kuna jamaa alimfumua mwenzake ubongo kwenye club Ambrosia.
Nilitakaa sema si yule c.rnl
Chanzo mabaunsa walimdhalilisha jamaa
Jamaa akatoka nje kwenda kwenye gari akachkua bmb akawarudia

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Hata kama ni bunduki 50mil ,kwa marekani, kama imenunuliwa kwa kufuata taratibu ,risasi moja iliyolipuliwa toka kwenye silaha halali ni traceable, watajua ni silaha gani iliyotumika, mmiliki utahitajika kuthibitisha sio wewe ulieitumia wakati inalipuliwa, nayo ni shughuli pevu, technology iko juu sana kule
 
Si kila mtu, wengine tunazo miaka zaidi ya 30 na hatujawahi kuua ntu.
 
Kumiliki silaha na za moto na kuua ni vitu viwili tofauti,wengine huku wameuana kwa mapanga,marungu na visu,bado kumiliki silaha haiwi sababu ya kufanya mauaji.

Silaha haziuwi Bali watu ndio wanauwa
Kweli kabisa neno lako
 
jamaa kajiua na yeye.walau ungekua hai apate maumivu na mateso
Yap. Maamuzi mengi mtu ukishafanya ndio unajutia. Alikuwa na hasira na urahisi wa kuwaua na silaha zake ndio ukaleta hayo. Pia jamaa kichwa yake ni mental case. Ila angeishi angkuja juta sana
 
Jamaa hajazungumzia mambo ya maganda ya risasi hapo ndipo shida ilipo.

Hebu twende kwenye mada; hivi hivi waswahili tukiwa na haya mavitu uvumilivu kwa majirani zetu nk, utakuwepo wa kutosha?.
Waswahili wanaorusha maji machafu barabarani kwa wapita njia, wenye vyeo na kutishia unajua mimi ni nani. Hawa ukiwapa silaha wote tutakuwa Kandahar au Kunduz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…