newmzalendo
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 1,385
- 568
biashara hakuna hapa
kilimo yes lakini import business hakuna ni utapeli tu
kilimo yes lakini import business hakuna ni utapeli tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mwanachama, hivyo sitakuwa na haki zaidi kuliko wengine. Kila mtu atapata umiliki kulingana na mchango wake. Kila kitu ni lazima kigharamikiwe na wanahisa wenyewe. Hakuna shortcuts !sounds well, na je kwenye hao vijana 50 mgao utakua sawa ama wewe founder unakua na mgao tofauti kidogo. na je process za kufungua company na bank account cost zake zinakua covered na hela hiyo hiyo ama?
Nafanyia kazi bandarini bro, i know what i'm saying !biashara hakuna hapa
kilimo yes lakini import business hakuna ni utapeli tu
Hapo ungeita watu uwapeleke chimbo lenye mademu wakali.... Pg hapa zingesfafika 50Siyo wapemba tu, nchi za Ulaya, Marekani, China, India biashara hizi ni common.
Mimi huwa nashangaa kama wabongo wako sensitive sana na Utapeli kwanini huwa wanatapeliwa sana ?
Ila ualimu ni kazi Ngumu sana !
Nafanyia kazi bandarini bro, i know what i'm saying !
Idea ni yangu na nina uwezo kuisimamisha, sema nimeona itachukua muda sana ku TAKE OFF ndio maana nikaona niwashirikishe vijana wenzangu !
Wazo zur ila sana, ila lina mambo meng ndan yake
1.Uaminifu kuanzia mtoa wazo ad watao jitokeza
2.ishakua biashara ya mtaj mkubwa, nazungumzia tamaa na usalit (TMT wa jangid plaza)
3.Madaraka nan atakua CEO?, nan atakua manager?
Ili amani ibak mahala pake naomba hili wazo tuachane nalo, Ontario kasepa bongo na kachufulia sana jina kisa mambo haya haya, ukiangalia kwa undan sana same circle katka mfumo tofaut
Nasema tena Be warned Be Warned Be Warned.
Mwenye masikio na asikie.
Msije kusema sikuwaambia.
Big ideaKwema Vijana Wenzangu ?
Unajua kuna wakati ni lazima tukubaliane na ukweli kuwa Vijana wa Tanzania tumetelelekezwa na viongozi wetu, na itakuwa ni jambo baya zaidi kama tutatelekezana wenyewe pia !
Mitaji yetu ni kiduchu, tutakuwa watumwa wa watu mpaka lini, tutakuwa machinga mpaka lini ??
Sasa kama na wewe umechoka kama mimi, nakushirikisha njia HALALI, RAHISI na ya KISASA ya kujikwamua KIMAISHA.
Wanahitajika "VIJANA 50 NET" walio COMMITED, SMART, FOCUSED, WAAMINIFU, HARDWORKER na WENYE SUBIRA !
Nini tutafanya:
Nimeshafanya "survey" kwa manufacturers wa bidhaa kadhaa China, India, Iran na kwingine nimeona ni namna gani biashara za [HASHTAG]#Wholesaling[/HASHTAG]" zina "ROI" nzuri
- Sisi tutakuwa tutafungua akaunti ya pamoja, tutaweka Tsh 150,000 kila mwezi kwa miezi 6 then baada ya hapo, tutazungumza na Manufacturers wa bidhaa tunazotaka, zikiletwa tunauza kwenye Retail Stores na Supermarkets
- Kwa lugha rahisi tutafanya [HASHTAG]#Marketing[/HASHTAG] na [HASHTAG]#BrandBuilding[/HASHTAG]
Taratibu zote za kisheria zitafuatwa. Kama una swali uliza:
Unaongelea watu 50 mimi niko nafanya biashara na watu 100 nabado wanaongezeka tu na kila kitu kinaenda vizuri tu, wewe baki hivyohivyo tu watu wangu ninaowafata katika maisha wanaelewa umuhimu wa umoja.Biashara ya watu 50 hata mngekuwa ndugu hilo ni ngumu kufanyika
Aweke group la whatsappWAZO ZURI ILA KUONEKANA SERIOUS ZAID NA FOR MORE CLARITY, WEKA HATA NAMBA HAPO YA SIMU NA EMAIL. THEN WILL WALK THE TALK! PIA NJOO INBOX ILI TUWEZE KUFIKIA CONSENSUS.
hapo umenena hakikaAweke group la whatsapp
Hayo majina uliyoyataja yalinganishe na hichi na uone utofauti wake.Ni kweli ngoja tusubiri lundo la wamiliki wa CRADB, VodaCom, NMB na wao WATAPELIANE !