Unayo akiba ya Tsh 150,000 kila mwezi na hutaki kufa Masikini, Kataa Ubinafsi, Soma Hapa

Unayo akiba ya Tsh 150,000 kila mwezi na hutaki kufa Masikini, Kataa Ubinafsi, Soma Hapa

biashara hakuna hapa
kilimo yes lakini import business hakuna ni utapeli tu
 
sounds well, na je kwenye hao vijana 50 mgao utakua sawa ama wewe founder unakua na mgao tofauti kidogo. na je process za kufungua company na bank account cost zake zinakua covered na hela hiyo hiyo ama?
Mimi ni mwanachama, hivyo sitakuwa na haki zaidi kuliko wengine. Kila mtu atapata umiliki kulingana na mchango wake. Kila kitu ni lazima kigharamikiwe na wanahisa wenyewe. Hakuna shortcuts !
 
biashara hakuna hapa
kilimo yes lakini import business hakuna ni utapeli tu
Nafanyia kazi bandarini bro, i know what i'm saying !

Idea ni yangu na nina uwezo kuisimamisha, sema nimeona itachukua muda sana ku TAKE OFF ndio maana nikaona niwashirikishe vijana wenzangu !
 
Siyo wapemba tu, nchi za Ulaya, Marekani, China, India biashara hizi ni common.

Mimi huwa nashangaa kama wabongo wako sensitive sana na Utapeli kwanini huwa wanatapeliwa sana ?
Hapo ungeita watu uwapeleke chimbo lenye mademu wakali.... Pg hapa zingesfafika 50
 
Ila ualimu ni kazi Ngumu sana !

Watu kama wewe huwezi nielewa hata kidogo maana nmechokonoa ndiko siko

Vyuma vimekaza sana mpaka unakuja na utapeli hu.

Huna uvumilivi hata kidogo Ndugu.
 
Nafanyia kazi bandarini bro, i know what i'm saying !

Idea ni yangu na nina uwezo kuisimamisha, sema nimeona itachukua muda sana ku TAKE OFF ndio maana nikaona niwashirikishe vijana wenzangu !

Waingize Ndugu zako
 
Wazo zur ila sana, ila lina mambo meng ndan yake
1.Uaminifu kuanzia mtoa wazo ad watao jitokeza

2.ishakua biashara ya mtaj mkubwa, nazungumzia tamaa na usalit (TMT wa jangid plaza)

3.Madaraka nan atakua CEO?, nan atakua manager?

Ili amani ibak mahala pake naomba hili wazo tuachane nalo, Ontario kasepa bongo na kachufulia sana jina kisa mambo haya haya, ukiangalia kwa undan sana same circle katka mfumo tofaut

Nakazia hoja yako.
 
wazo zurii sana lakini usijaribu kwa wabongo utalia kimakonde watu muwe mnafahamiana ni rahisi but kma hamfamiani usijaribu hii kitu yalinkuta makubwa mwenzenu
 
wazo zurii sana lakini usijaribu kwa wabongo utalia kimakonde watu muwe mnafahamiana ni rahisi but kma hamfamiani usijaribu hii kitu yalinkuta makubwa mwenzenu
Wanaofahamiana hawadhulumiani !
 
Kwema Vijana Wenzangu ?

Unajua kuna wakati ni lazima tukubaliane na ukweli kuwa Vijana wa Tanzania tumetelelekezwa na viongozi wetu, na itakuwa ni jambo baya zaidi kama tutatelekezana wenyewe pia !

Mitaji yetu ni kiduchu, tutakuwa watumwa wa watu mpaka lini, tutakuwa machinga mpaka lini ??

Sasa kama na wewe umechoka kama mimi, nakushirikisha njia HALALI, RAHISI na ya KISASA ya kujikwamua KIMAISHA.

Wanahitajika "VIJANA 50 NET" walio COMMITED, SMART, FOCUSED, WAAMINIFU, HARDWORKER na WENYE SUBIRA !

Nini tutafanya:

Nimeshafanya "survey" kwa manufacturers wa bidhaa kadhaa China, India, Iran na kwingine nimeona ni namna gani biashara za [HASHTAG]#Wholesaling[/HASHTAG]" zina "ROI" nzuri

- Sisi tutakuwa tutafungua akaunti ya pamoja, tutaweka Tsh 150,000 kila mwezi kwa miezi 6 then baada ya hapo, tutazungumza na Manufacturers wa bidhaa tunazotaka, zikiletwa tunauza kwenye Retail Stores na Supermarkets

- Kwa lugha rahisi tutafanya [HASHTAG]#Marketing[/HASHTAG] na [HASHTAG]#BrandBuilding[/HASHTAG]

Taratibu zote za kisheria zitafuatwa. Kama una swali uliza:
Big idea
 
Biashara ya watu 50 hata mngekuwa ndugu hilo ni ngumu kufanyika
Unaongelea watu 50 mimi niko nafanya biashara na watu 100 nabado wanaongezeka tu na kila kitu kinaenda vizuri tu, wewe baki hivyohivyo tu watu wangu ninaowafata katika maisha wanaelewa umuhimu wa umoja.
 
Hongera Mkuu !
 
Back
Top Bottom