Unayoyajua na usiyoyajua kuhusu wanyama wa kufugwa

Moja ya ufafanuzi mzuri, wazungu wanalijua hili na huwezi kuona mzungu anawanyanyasa wanayama hata wala wanyama hatarishi, tumeona hata nyoka wanakamata wanawarudisha polini ili waendelee kuishi.
Sisi wamatumbi tunafanya rejea kwenye ile hadithi utamponda kichwa chake pale edeni
 

ulifeli sana sijui labda sababu ya umri au ndio uzembe.

mbwa siku zote huwa anajitoa 100% kwa binaadam lakini malipo ya upendo huo huwa ni duni sana,mfano kumlaza nje sehemu isiyo salama kwake,au kupewa chakula cha hovyo hovyo.

fisi wawili tu wanafanikiwa kuondoka na mbwa aliyekuwa rafiki yako nawewe unabaki umetoa macho tu!!!huna mshale wala panga,rungu ama kipande cha nondo ukamuonyeshe kwamba hawezi potea wewe unaona.
fisi kiumbe wa hovyo sana anakutishaje!!!labda simba,lakini hata chui bado angenifahamu vizuri.
 
🀣🀣🀣kwenye kuwachinja inabidi tu ujikaze maana huna namna na nyama zao(kuku) ni tamu pia.
 
Mkuu fisi wawili unadhani mchezo eeh?
Walikuwa wamemaliza kwa kiasi kikubwa sana
Halafu nilikuwa mdogo ningefanya nini fisi wawili?

Watu wazima ndiyo walikimbiza na hawakukamata kabisa sio mchezo

Mbwa kwa mazingira yetu kijijini unadhani atalala ndani kweli?
Tanzania hii hii hata mjini mbwa halali ndani
 
Jamii ya wanyama aina ya paka ndo wenye uwezo wa kutoa kucha na kuzirudisha ndani
 
Hao Ni wanyama gani?
 
Kitu namisi ni kuona zile battle za madume ya mafahali.

Tukiwa machalii wadogo tulikuwa tunachonganisha mafahali halafu tunakaa kuangalia battle.

Wale mafahali wanafikia hatua ya kuwa na bifu na unakuta wako busy kunoa pembe zao kwenye vichuguu.
Daah we muongo balaa
 
Binafsi mbwa wetu yule nilimpenda sana naye alikuwa beneath sana na mimi muda mwingi kiasi kwamba asiponiona atanitafuta mpaka nilipo either porini au lah atanitafuta au kunisubiri , licha ya yote hayo sikuwahi kumuona akibweka bado..!
,,😍😍😍 upendo wa mbwa hauna mfano!!

Yaani kama ulitaka ku experience nini maana ya upendo, kuwa na hichi kiumbe😍😍😍
 
Weee paka umbali mrefu arudi.
 
Well
 
Wewe tumia hiyo sayansi yako ya kukariri darasanj elimu ya helsb then sisi tutumie njia za miaka yote zinazofanya tumiliki mifugo isiyohesabika wewe miliki ng'ombe watatu then utumie hiyo sayansi kama hata faida utapata
Baadaye mnatafuta waganga mmerogwa, kumbe brucellosis...endeleeni kukaza fuvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…