Kweli siku hazigandi nimejiunga JF juzi juzi tu hapo nikiwa na 23 yrs leo nipo 31.[emoji1438][emoji3603]
Tuwasiliane 065403178
YeeahHiyo ya mwisho ajiongeze??
Yakiwa kwa mwenzio ni kichekesho. Omba yasikukute[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yeeah
Yakiwa kwa mwenzio ni kichekesho. Omba yasikukute
Ndio maana nimesema kama hayajakukuta ni rahisi kuona mtu anafanya comedy[emoji2][emoji2][emoji3][emoji3]ninyi mmeamua kutuchekesha tu
Naomba unilipe deni langu kabla hujafaDah...miaka 83 sasa...kwa kifupi uzi haunihusu [emoji1787] [emoji2211][emoji2211]
Ndio maana nimesema kama hayajakukuta ni rahisi kuona mtu anafanya comedy
Kumbe haya mambo yalikuwepo tangu zamani!?!Nilipokuwa najiunga Jf wadada wa 30+ walikuwa wanachambwa ila mimi nilikuwa naona kama iko mbaaali[emoji3][emoji3][emoji3] nilivyofikafika hata sielewi
Toa 1039
Maisha yanaenda kasi sana jamani!!
Hebu nipeni connection wakuu! Na mimi niteembeemo nimekaa
Mzee kabakiza kama miaka 6
UtambeeNazeeka sasa
Dogo acha kujimwambafayNina wadogo wengi humu jamani
Umemuona mwenzio?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Toa 10