Unazeeka jione hapa

Unazeeka jione hapa

Yaani ukiona tu watu tegemezi wanaongezeka na wewe sio tegemezi tena ujuwe tu kuwa the clock is ticking.

2013 nilivyojiunga humu I used to call myself a young man, sasa hakyanani kichwa kimeanza mvi, ndevu zimejaa hadi sizipendi tena.

Uzee upo jirani sana, maisha ni mafupi sana...
Nipe connection hebu
 
Umenitia moyo sana aisee..

Maana si kwa kugongwa huku na maisha.

Ila kitu nmegundua kwa wakati huu vijana tujiepushe na vimikopo visivyo na Maana. Vinaongeza stress mara 100 zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sema kweli mshahara wako ni shi ngap
 
Age is Nothing but Numbers. Mandoto tuliyonayo hata kama yakitimia Uzeeni still It is Worth it!
 
Back
Top Bottom