Unazeeka jione hapa

Unazeeka jione hapa

Kweli huko bongo kuna matatizo makubwa ya kifikra. Yaani mtaalamu wangu wa sociology unataka kuniambia mtu akiwa na gari + nyumba basi ameshapata mafanikio ?
Hata huko USA kupata nyumba (mortgage) ni moja ya hatua kubwa ndio maana huko suala la housing ni muhimu si kiuchumi tu hata kijamii.
 
Acha kabisa mkuu. Nikajikuta natafakari kumbe hata mavazi, nnavyonyoa, mazungumzo inabidi yabadilike
 
Huu uzi unanipa mashaka ya moyo. Nashangaa siku hizi nikipa sehem watu hawasemi baba, naambiwa mhudumieni mzee dah! Mwanzoni nilikua kama nashikwa na gubu nikakumbuka wakati ukuta, hauwezi kushindana nao.

Inabidi kujiweka sawa kwenda na majira.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkubwa, mie nimeshangaa shkamoo zimeongezeka sana nikasema hivi shida ni nini
Kumbe umri unasonga
 
Aisee!!
Zile stori zako za vipindi vya redio Tanzania na matumizi ya vitu vya zamani (koroboi, pasi ya mkaa, n.k) kumbe ulikuwa una simuliwa na mwalimu.... mkiwa jikoni?

Acha nimfikishie huu ujumbe yule Msukuma mwenye jina la mnyama aje ashuhudie "uandaeitini" wako,ajue kuwa yote iliyokuwa unasimulia ulikuwa unajimwambafai [emoji3][emoji3][emoji3]
Hauwezi kuwa siriaz, nyumbani kwetu (kwa wazazi ) hadi leo tunatumia pasi ya mkaa ( wewe utakuwa wa kishua). Kuhusu vipindi nilikuwa navisikiliza mwenyewe kabisa wala si kusimuliwa
 
Wee acha tu huyu mzee wakati anaingia nilikuwa na 20+ sasa hivi nataamaki ngoma hii hii hapa 25+ [emoji15]

Ukileta mzaha unashangaa ngoma 30+ hii bado unayega yega.
Daaah pole sana mm akitoka nitakua na 35 asee.. punde tu hapa ndio nilikua nimebarehe
 
Kweli huko bongo kuna matatizo makubwa ya kifikra. Yaani mtaalamu wangu wa sociology unataka kuniambia mtu akiwa na gari + nyumba basi ameshapata mafanikio ?
Mimi kwangu hayo ni mafanikio makubwa sana maana hata sina, na kumbuka toka mwanzo wa comment yangu tulikuwa tunaongelea masuala ya kujenga
 
Leo nikasema nilikuwa kijana sasa ni mzee ... daaah maisha yanaenda kasi sana. Hata nilivyozeeka zeeka sijajua bado.
 
Hauwezi kuwa siriaz, nyumbani kwetu (kwa wazazi ) hadi leo tunatumia pasi ya mkaa ( wewe utakuwa wa kishua). Kuhusu vipindi nilikuwa navisikiliza mwenyewe kabisa wala si kusimuliwa
Wakishua?!!!
Kwa mara ya kwanza nimevaa viatu "chachacha" tena vya kuazima siku ya mtihani wa darasa la saba. Ile narudi jioni nilimkuta mwenye navyo mtoni ananisubiri ili nimrudishie asije akajua mama yake kuwa aliazimisha viatu vya safari...
 
Kwa nini sasa unaona haiwezekani mtu wa miaka 31 kuwa ametumia pasi ya mkaa, kibatari and the like wakati kuna watu hadi leo wanatumia?
 
Ukiwa mdogo huwazi kabisa miaka 40 ijayo utakuwaje
Ila ukifika 50 ndio unaanza kuwaza miaka kufa kufa [emoji23][emoji23]
 
Kwa nini sasa unaona haiwezekani mtu wa miaka 31 kuwa ametumia pasi ya mkaa, kibatari and the like wakati kuna watu hadi leo wanatumia?
Miaka 31 ni kwamba kijana anaanza kujihudumia akiwa na miaka nane (1996...) na kuendelea,miaka hiyo ya 90's mambo mengi yalibadilika sana tofauti na tulio anzia makuuzi 80's na kurudi nyuma. Hata huduma za mawasiliano zilikuwa zimeanza, tv stations (Itv, Ctn,n.k),radio stations (Radio one, Rfa, Clouds, Radio Tumaini, n.k),mobitel, celtel, voda, n.k.

Kwa umri wako ilikuwa ni rahisi mno kupata huduma za msingi kwa wakati labda tu kama ulikulia kijijini.
 
Nimekulia kijijini mjini nimekuja kukaa nikiwa chuo
 
Back
Top Bottom