Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha... aliyesema kilimo uti wa mgongo..mali zipo shamban..kilimo kwanza wote wapuuzi tu. Hua hata hawajui jembe linashikwa vipi!
Kwahiyo ulipokimbia dar mwezi july ulienda shamba na mali umezipata??😆😆😆😆
Bado una mwaka 1duh 29 nizae tu hamna namna....
Mpaka EvilSpirit umegutuka mm nani nisishtuke ?Da jamaa umenigutusha na hii chati yako,nilikuwa najiona kijana
Wa stendi kama hapo haupo basi uko above 70.Bora yangu hapo sipo
Kweli huko bongo kuna matatizo makubwa ya kifikra. Yaani mtaalamu wangu wa sociology unataka kuniambia mtu akiwa na gari + nyumba basi ameshapata mafanikio ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka, sio kweli bwana watu wengine wamezaliwa na kismati, mtu anagraduate ana 25 let's say, mara moja anapata kazi ya mshahara 1m+ akifika 31 hana gari wala pagale atakuwa na tatizo mahali fulani kwenye kichwa chake
Wakati ww hujapata huko shambani, acha kusumbua watotot na wajukuuWosia wangu una mstari mmoja tu.
"Kama mnataka mali mtazipata shambani".
Na ww unayapa kisogo kwani nn bwanaaa31..ndio kwanza niponipo tu hata bei ya tofali siijui, maisha bwana yakiamua kukupa kisogo
I've found your wills is equal to mine..duh 29 nizae tu hamna namna....
Kipi kitu kikuchekeshacho mkuu ?[emoji23]
Hilo la kaburi ndo la msingiSiku zinasonga na kaburi linazidi tu kusogea
Hahahaaa wapige mkwara..Navua samaki tu kwa sasa. Nimekua baharia
Tunajua mnakumbana na mengi mara macho hayaoni vizuri, shida za hapa na pale so tukawaacha mpumzike kidogo kwa heshimaKwa hiyo wa mwaka 45 ndio vikongwe sana hata kwenye chat hatumo???
[emoji852][emoji19]
Mpaka sasa unaona dalili au ndo tayari ushafeli ?Hahaha... Miaka ina Kimbia sana aisee, kama mwaka huu yani siamini kama tayari tupo November!
Nilikuwa nampango hadi December nilipie kakiwanja sehemu lakini naona kabisa dalili za kufeli
[emoji23][emoji23][emoji23]
55 bado niko kwa mama31..ndio kwanza niponipo tu hata bei ya tofali siijui, maisha bwana yakiamua kukupa kisogo
Vijana wengi wanadhani umri wa unarudi nyuma.Sitaki kuamini nami one day nitakua kama ninyi..kababu chenye mimvi daah. 35 naiona ileeeee
Mkubwa.. Naona dalili mkuuMpaka sasa unaona dalili au ndo tayari ushafeli ?