Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
[emoji120][emoji120][emoji120]
Hongera utumie vizuri ujana wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera utumie vizuri ujana wako
5 na sifuri bablai, salimia MonicaNgapi eti...
You are not alone my dear31..ndio kwanza niponipo tu hata bei ya tofali siijui, maisha bwana yakiamua kukupa kisogo
Rafiki uko vizuri ila umeandika wosia mapema sana.🙂Wosia wangu una mstari mmoja tu.
"Kama mnataka mali mtazipata shambani".
Achana nae huyo mm ntaanza kukata nikianza kugonga 45Hata wewe litazama siku moja
Let's fight my dear, tutafika tuYou are not alone my dear
[emoji24][emoji24][emoji24]
Mwambie AKUKOMEHata wewe litazama siku moja
Nilipokuwa najiunga Jf wadada wa 30+ walikuwa wanachambwa ila mimi nilikuwa naona kama iko mbaaali[emoji3][emoji3][emoji3] nilivyofikafika hata sielewiAchana nae huyo mm ntaanza kukata nikianza kugonga 45
Rafiki uko vizuri ila umeandika wosia mapema sana.🙂
[emoji23][emoji23][emoji23] ningemwambia ni vile huwa sipendi kumalizia hasira zangu kwa watu wengineMwambie AKUKOME
Hivi kwanini wadada wa 30+ huwa wanaangaliwa kwa jicho la tofauti sana kwenye jamii ?Nilipokuwa najiunga Jf wadada wa 30+ walikuwa wanachambwa ila mimi nilikuwa naona kama iko mbaaali[emoji3][emoji3][emoji3] nilivyofikafika hata sielewi
Kabisa. Mimi huwa nasema haya maisha kwa Mungu ni kama kibao ni sekunde tu kugeuza mshale uelekee upande wa pili.Let's fight my dear, tutafika tu
Na penseli yako akurudishie[emoji23][emoji23][emoji23] ningemwambia ni vile huwa sipendi kumalizia hasira zangu kwa watu wengine
Aione Let Tumbozz*Mwaka - Umri*
1950 - 69
1951 - 68
1952 - 67
1953 - 66
1954 - 65
1955 - 64
1956 - 63
1957 - 62
1958 - 61
1959 - 60
1960 - 59
1961 - 58
1962 - 57
1963 - 56
1964 - 55
1965 - 54
1966 - 53
1967 - 52
1968 - 51
1969 - 50
1970 - 49
1971 - 48
1972 - 47
1973 - 46
1974 - 45
1975 - 44
1976 - 43
1977 - 42
1978 - 41
1979 - 40
1980 - 39
1981 - 38
1982 - 37
1983 - 36
1984 - 35
1985 - 34
1986 - 33
1987 - 32
1988 - 31
1989 - 30
1990 - 29
1991 - 28
1992 - 27
1993 - 26
1994 - 25
1995 - 24
1996 - 23
1997 - 22
1998 - 21
1999 - 20
2000 - 19
2001 - 18
2002 - 17
2003 - 16
Sasa endelea kuleta utozi...ibada hufanyi, pesa hutafuti,watoto huna, mke/mume huna...umri haukungoji!...kucha kutwa unazoza tu kulaumu wazazi ndugu jamaa na marafiki mifumo na serikali....oooh kamekwenda eeeh kamerudii babeki kalaga baho wifwa!
Mimi hata sijuiHivi kwanini wadada wa 30+ huwa wanaangaliwa kwa jicho la tofauti sana kwenye jamii ?
Hahaha... Miaka ina Kimbia sana aisee, kama mwaka huu yani siamini kama tayari tupo November!Nilipokuwa najiunga Jf wadada wa 30+ walikuwa wanachambwa ila mimi nilikuwa naona kama iko mbaaali[emoji3][emoji3][emoji3] nilivyofikafika hata sielewi
Wakati wewe umezipata Dar...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka, sio kweli bwana watu wengine wamezaliwa na kismati, mtu anagraduate ana 25 let's say, mara moja anapata kazi ya mshahara 1m+ akifika 31 hana gari wala pagale atakuwa na tatizo mahali fulani kwenye kichwa chakeKabisa. Mimi huwa nasema haya maisha kwa Mungu ni kama kibao ni sekunde tu kugeuza mshale uelekee upande wa pili.
Mimi mpaka nikifika 45 sina kitu ndio ntasema hapa basi, lkn kwa hii 31 bado sana.
Na asikudanganye mtu, sister, ukiona mtu ana miaka 31 lakini tayari ana vitu vyote muhimu jua ni mwizi.