Unazeeka jione hapa

Unazeeka jione hapa

Let's fight my dear, tutafika tu
Kabisa. Mimi huwa nasema haya maisha kwa Mungu ni kama kibao ni sekunde tu kugeuza mshale uelekee upande wa pili.

Mimi mpaka nikifika 45 sina kitu ndio ntasema hapa basi, lkn kwa hii 31 bado sana.

Na asikudanganye mtu, sister, ukiona mtu ana miaka 31 lakini tayari ana vitu vyote muhimu jua ni mwizi.
 
*Mwaka - Umri*
1950 - 69
1951 - 68
1952 - 67
1953 - 66
1954 - 65
1955 - 64
1956 - 63
1957 - 62
1958 - 61
1959 - 60
1960 - 59
1961 - 58
1962 - 57
1963 - 56
1964 - 55
1965 - 54
1966 - 53
1967 - 52
1968 - 51
1969 - 50
1970 - 49
1971 - 48
1972 - 47
1973 - 46
1974 - 45
1975 - 44
1976 - 43
1977 - 42
1978 - 41
1979 - 40
1980 - 39
1981 - 38
1982 - 37
1983 - 36
1984 - 35
1985 - 34
1986 - 33
1987 - 32
1988 - 31
1989 - 30
1990 - 29
1991 - 28
1992 - 27
1993 - 26
1994 - 25
1995 - 24
1996 - 23
1997 - 22
1998 - 21
1999 - 20
2000 - 19
2001 - 18
2002 - 17
2003 - 16

Sasa endelea kuleta utozi...ibada hufanyi, pesa hutafuti,watoto huna, mke/mume huna...umri haukungoji!...kucha kutwa unazoza tu kulaumu wazazi ndugu jamaa na marafiki mifumo na serikali....oooh kamekwenda eeeh kamerudii babeki kalaga baho wifwa!
Aione Let Tumbozz
 
Nilipokuwa najiunga Jf wadada wa 30+ walikuwa wanachambwa ila mimi nilikuwa naona kama iko mbaaali[emoji3][emoji3][emoji3] nilivyofikafika hata sielewi
Hahaha... Miaka ina Kimbia sana aisee, kama mwaka huu yani siamini kama tayari tupo November!

Nilikuwa nampango hadi December nilipie kakiwanja sehemu lakini naona kabisa dalili za kufeli
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kabisa. Mimi huwa nasema haya maisha kwa Mungu ni kama kibao ni sekunde tu kugeuza mshale uelekee upande wa pili.

Mimi mpaka nikifika 45 sina kitu ndio ntasema hapa basi, lkn kwa hii 31 bado sana.

Na asikudanganye mtu, sister, ukiona mtu ana miaka 31 lakini tayari ana vitu vyote muhimu jua ni mwizi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka, sio kweli bwana watu wengine wamezaliwa na kismati, mtu anagraduate ana 25 let's say, mara moja anapata kazi ya mshahara 1m+ akifika 31 hana gari wala pagale atakuwa na tatizo mahali fulani kwenye kichwa chake
 
Back
Top Bottom