and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Tuwasiliane 06540317839
Maisha yanaenda kasi sana jamani!!
Hebu nipeni connection wakuu! Na mimi niteembeemo nimekaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwasiliane 06540317839
Maisha yanaenda kasi sana jamani!!
Hebu nipeni connection wakuu! Na mimi niteembeemo nimekaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na penseli yako akurudishie
[emoji23][emoji23][emoji23] afadhali wewe ulikuwa na hata wazo. Ndoto yako itatimia kama sio mwaka huu basi mapema mwakaniHahaha... Miaka ina Kimbia sana aisee, kama mwaka huu yani siamini kama tayari tupo November!
Nilikuwa nampango hadi December nilipie kakiwanja sehemu lakini naona kabisa dalili za kufeli
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mdogo wangu we acha tu utashangaa ghafla mvi hizi hapa39
Maisha yanaenda kasi sana jamani!!
Hebu nipeni connection wakuu! Na mimi niteembeemo nimekaa
[emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli ila hao kwa nchi yetu hii ni 1 kati ya 100.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka, sio kweli bwana watu wengine wamezaliwa na kismati, mtu anagraduate ana 25 let's say, mara moja anapata kazi ya mshahara 1m+ akifika 31 hana gari wala pagale atakuwa na tatizo mahali fulani kwenye kichwa chake
Umenitia moyo sana aisee..[emoji23][emoji23][emoji23] afadhali wewe ulikuwa na hata wazo. Ndoto yako itatimia kama sio mwaka huu basi mapema mwakani
Wapo, mimi nawafahamu wawili-watatu[emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli ila hao kwa nchi yetu hii ni 1 kati ya 100.
Yani mimi nikiwa ona masela waliograduet wanavyo haha huku kitaa nawaonea huruma kweli.
Sawa MkuuTuwasiliane 065403178
Tutiane tu moyo ndugu yangu, ulichosema ni kweli kabisa. Mambo yakiwa hayaendi na huku unadaiwa stress zinakuwa mara 100Umenitia moyo sana aisee..
Maana si kwa kugongwa huku na maisha.
Ila kitu nmegundua kwa wakati huu vijana tujiepushe na vimikopo visivyo na Maana. Vinaongeza stress mara 100 zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ni kwa nini eti jamani dada!Mdogo wangu we acha tu utashangaa ghafla mvi hizi hapa
Mdogo wangu connection nitoe wapi mie, si ningekuwa nimeshatokaHivi ni kwa nini eti jamani dada!
Silali, napambana kufa na kupona, nasahau hadi kukula ila waapiii!!
Dada nipe connection aki
[emoji23]
Mie hata siamini kabisaa!Mdogo wangu connection nitoe wapi mie, si ningekuwa nimeshatoka
Mmh monica yupi? Au st...5 na sifuri bablai, salimia Monica
Ukifika huku niliko huuajiita mhenga utasubiri uitwe...Unapokua hauna kitu mambo ya urithi sio makubwa sana.
Mie mhenga ujue. Nimetafuna magunia kadhaa ya chumvi.
Yep....st.Mmh monica yupi? Au st...
[emoji23]Si hadi niwe na hizo mali!!
Dar nilishakimbia tokea jemedari aseme kufikia July atakaebaki Dar mwanaume. Sie wenye roho ndogo tukatawanyikia mbali.
Hahaha... aliyesema kilimo uti wa mgongo..mali zipo shamban..kilimo kwanza wote Hua hata hawajui jembe linashikwa vipi!Si hadi niwe na hizo mali!!
Dar nilishakimbia tokea jemedari aseme kufikia July atakaebaki Dar mwanaume. Sie wenye roho ndogo tukatawanyikia mbali.
Seem like you know me!Yep....st.