Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Kabisaa MkuuInabidi tusalimiwe humu aisee!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaa MkuuInabidi tusalimiwe humu aisee!!
Nipe connection hebuYaani ukiona tu watu tegemezi wanaongezeka na wewe sio tegemezi tena ujuwe tu kuwa the clock is ticking.
2013 nilivyojiunga humu I used to call myself a young man, sasa hakyanani kichwa kimeanza mvi, ndevu zimejaa hadi sizipendi tena.
Uzee upo jirani sana, maisha ni mafupi sana...
Sema kweli mshahara wako ni shi ngapUmenitia moyo sana aisee..
Maana si kwa kugongwa huku na maisha.
Ila kitu nmegundua kwa wakati huu vijana tujiepushe na vimikopo visivyo na Maana. Vinaongeza stress mara 100 zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23]
Bora ningekuwa mwl, niko huku namtumbo nalima mkuuKwani wewe ni mwalimu au upo halmashauri?
Ndio kwanza la saa sita kasoro 😂Vipi ww uncle jua halijaanza kuzama?
Mshumba?Ndio sina sasa mkuu
Mshumba...??M
Mshumba?
Connection ya nini mama!!Nipe connection hebu
Huyu ndio mimi mwenyewe, Anorld mwenyewe...Mi napendaga hiyo Avatar yako tu
Mchumba anaeleweka? , sorryMshumba...??
KhaaaHuyu ndio mimi mwenyewe, Anorld mwenyewe...
Hata asiyeeleweka sina [emoji23][emoji23][emoji23]Mchumba anaeleweka? , sorry
Big upHata asiyeeleweka sina [emoji23][emoji23][emoji23]
Si kweli maana kuna wengine wata dead na 20Hata wewe litazama siku moja
Tofali kote huko wakati hata bei ya mchele tu haijui.We ni zaidi hata bei ya tofali hujui?viwanja ndo itakuwaje
Baba JaneeeeeHuyu ndio mimi mwenyewe, Anorld mwenyewe...
Ndio kwanza la saa sita kasoro [emoji23]
Eeeh tena...?Big up