Unazeeka jione hapa

Unazeeka jione hapa

Hahahaha miaka 7 iliyopita ni juzi juzi mkuu?? Au ulikuwa kwenye comma??
Kweli siku hazigandi nimejiunga JF juzi juzi tu hapo nikiwa na 23 yrs leo nipo 31.[emoji1438]‍[emoji3603]
 
Dah...miaka 83 sasa...kwa kifupi uzi haunihusu 🤣 🚶‍♂️🚶‍♂️
 
Yaan tangu 2005 sielewe kuna nn yaan ukifumba ukifumbua mwaka mpya huu hapa na ujakaa vizuri mwingine na mwingine huu hapa daah!

Yaan mpaka kuna mda unaweza sahau miaka yako.
 
Kikubwa uzima,kama nitaishi mpaka angalau miaka 70+ nikiwa na afya timamu inatosha,hata kama nitakuwa sina kitu.kufa katika umri wa miaka kati ya 0-55 ndio kunanipa hofu sana bila kujali nina nini au sina nini.najiombea maisha marefu tu basi .
 
Nilipokuwa najiunga Jf wadada wa 30+ walikuwa wanachambwa ila mimi nilikuwa naona kama iko mbaaali[emoji3][emoji3][emoji3] nilivyofikafika hata sielewi
Kumbe haya mambo yalikuwepo tangu zamani!?!
 
Back
Top Bottom