Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa kijana mwenzangu, wakati sio ukutaTutumie ujana wetu vizuri tumeshauriwa na shangazi.
Muda wa kutandika dongo nao utafikaAm rapidly approaching 30 siyo mbaya nina miaka mengine 30 ya kutandaza miti
Kipi kitu kikuchekeshacho mkuu ?
Kwani kuna formula mkuu ?32 umechelewa sana kuoa
At 25 watu wana watoto wakubwa na walishaoa zamani
Saaaaana madamDuuh! Miaka inakimbia bana.
Eeh,Umri wa wazazi wangu huu
Lol,Tunajua mnakumbana na mengi mara macho hayaoni vizuri, shida za hapa na pale so tukawaacha mpumzike kidogo kwa heshima
Amina babeEeh,
Nawatakia maisha marefu wazazi wetu.
Miaka mingapi?Yesus!
Ndio definition ya maisha hii. Ni mafupi kupita kawaida...
Acha kabisa. Cha ajabu miili haibadiliki yaani kila siku waeza jiona umri bado ila zinapokuja kalikulesheni kama hizi ndio hapo tunashituka. 😅😅😅Saaaaana madam
Mzee tayari Agatha...Miaka mingapi?
31..ndio kwanza niponipo tu hata bei ya tofali siijui, maisha bwana yakiamua kukupa kisogo