Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani, Simba haikufungwa na timu yoyote Tanzania kwenye mechi za mashindano ikiwemo Ubingwa wa Tanzania tokea mwaka 1976 hadi 1980.
Na Yanga hakupata hata sare miaka hiyo, hata katika mechi za kirafiki hakupata hata sare, na 1977 aliambulia kipigo cha 6 bila katika kugombea ubingwa wa nc
Yaani unataka kutuletea habari zako za miaka ya 1970's! Tena usimute ulikuwa hata huna matarajio ya kiwepo duniani! Na wakati sisi tunaongelea unbeaten ya Yanga ya wakati huu uliopo!!Jamani, Simba haikufungwa na timu yoyote Tanzania kwenye mechi za mashindano ikiwemo Ubingwa wa Tanzania tokea mwaka 1976 hadi 1980.
Na Yanga hakupata hata sare miaka hiyo, hata katika mechi za kirafiki hakupata hata sare, na 1977 aliambulia kipigo cha 6 bila katika kugombea ubingwa wa nchi.
Ulikuwa umezaliwa!?Jamani, Simba haikufungwa na timu yoyote Tanzania kwenye mechi za mashindano ikiwemo Ubingwa wa Tanzania tokea mwaka 1976 hadi 1980.
Na Yanga hakupata hata sare miaka hiyo, hata katika mechi za kirafiki hakupata hata sare, na 1977 aliambulia kipigo cha 6 bila katika kugombea ubingwa wa nchi.
Makolokolo FC ni janga la Taifa.
Hata ni kama ni 70's record inabaki kama ilivyo, ni kama vile record ya Yanga kuingia makundi CAF Club championship mara ya mwisho 1998, Fei Toto hajazaliwaYaani unataka kutuletea habari zako za miaka ya 1970's! Tena usimute ulikuwa hata huna matarajio ya kiwepo duniani! Na wakati sisi tunaongelea unbeaten ya Yanga ya wakati huu uliopo!!
Atakuwa amesimuliwa na babu yake!Ulikuwa umezaliwa!?
Acha BANGE huo msimu wa vita vya IDD AMIN
1978 ni kweli vita ya Kagera ilianza, lakini ilikuwa mwezi wa 9. Yanga walijitoa mwezi wa 7, walitumia kisingizio cha mechi yao na Pamba ya Mwanza kuvunjika, Pamba ikiongoza bao 2 na Yanga kugomea mechi kwa wakidai refa anapendelea. Ukweli ni kwamba waliikacha Simba ambayo mwaka mmoja nyuma 1977, waliichabanga Yanga 6 - 0. Mwaka 1978 Simba ilikuwa form kweli kweli, ni ile Simba ya Thuwen Ally, George Kulagwa, Nico Njohole, Mahadhi bin Jabir iliyofanya come back Zambia 5- 0.Acha BANGE huo msimu wa vita vya IDD AMIN
Jibu hoja ya uchawiJibu hoja ya unbeaten
BANGI hzoMbona hata uchawi wa zamani hauzungumzwi. Unazungumzwa uchawi wa juzi waliofanya Simba huko SA
Aziz ufunguo atawanyoosha sana mwaka huu1978 ni kweli vita ya Kagera ilianza, lakini ilikuwa mwezi wa 9. Yanga walijitoa mwezi wa 7, walitumia kisingizio cha mechi yao na Pamba ya Mwanza kuvunjika, Pamba ikiongoza bao 2 na Yanga kugomea mechi kwa wakidai refa anapendelea. Ukweli ni kwamba waliikacha Simba ambayo mwaka mmoja nyuma 1977, waliichabanga Yanga 6 - 0. Mwaka 1978 Simba ilikuwa form kweli kweli, ni ile Simba ya Thuwen Ally, George Kulagwa, Nico Njohole, Mahadhi bin Jabir iliyofanya come back Zambia 5- 0.
Tupe ushahidi mkuuJamani, Simba haikufungwa na timu yoyote Tanzania kwenye mechi za mashindano ikiwemo Ubingwa wa Tanzania tokea mwaka 1976 hadi 1980.
Na Yanga hakupata hata sare miaka hiyo, hata katika mechi za kirafiki hakupata hata sare, na 1977 aliambulia kipigo cha 6 bila katika kugombea ubingwa wa nchi.
Mkuu ukizungumzia unbeaten tunamaanisha kuanzia 40 kwenda mbele , ya Yanga inazungumziwa sababu imeingia kwenye record ya unbeaten za duniaJamani, Simba haikufungwa na timu yoyote Tanzania kwenye mechi za mashindano ikiwemo Ubingwa wa Tanzania tokea mwaka 1976 hadi 1980.
Na Yanga hakupata hata sare miaka hiyo, hata katika mechi za kirafiki hakupata hata sare, na 1977 aliambulia kipigo cha 6 bila katika kugombea ubingwa wa nchi.
SIyo SImba queens?Sandalendi au simba??,
Rekodi zako zinaionesha sandalendi
Huku ni kuishiwa hoja..!!Dustbin