Unbeaten! Simba alikuwa unbeaten miaka mitano, mbona haizungumzwi?

Acha BANGE huo msimu wa vita vya IDD AMIN
Jamani, Simba haikufungwa na timu yoyote Tanzania kwenye mechi za mashindano ikiwemo Ubingwa wa Tanzania tokea mwaka 1976 hadi 1980.

Na Yanga hakupata hata sare miaka hiyo, hata katika mechi za kirafiki hakupata hata sare, na 1977 aliambulia kipigo cha 6 bila katika kugombea ubingwa wa nc
 
Jamani, Simba haikufungwa na timu yoyote Tanzania kwenye mechi za mashindano ikiwemo Ubingwa wa Tanzania tokea mwaka 1976 hadi 1980.

Na Yanga hakupata hata sare miaka hiyo, hata katika mechi za kirafiki hakupata hata sare, na 1977 aliambulia kipigo cha 6 bila katika kugombea ubingwa wa nchi.
Yaani unataka kutuletea habari zako za miaka ya 1970's! Tena usimute ulikuwa hata huna matarajio ya kiwepo duniani! Na wakati sisi tunaongelea unbeaten ya Yanga ya wakati huu uliopo!!
 
Ulikuwa umezaliwa!?
 
Yaani unataka kutuletea habari zako za miaka ya 1970's! Tena usimute ulikuwa hata huna matarajio ya kiwepo duniani! Na wakati sisi tunaongelea unbeaten ya Yanga ya wakati huu uliopo!!
Hata ni kama ni 70's record inabaki kama ilivyo, ni kama vile record ya Yanga kuingia makundi CAF Club championship mara ya mwisho 1998, Fei Toto hajazaliwa
 
Acha BANGE huo msimu wa vita vya IDD AMIN

Acha BANGE huo msimu wa vita vya IDD AMIN
1978 ni kweli vita ya Kagera ilianza, lakini ilikuwa mwezi wa 9. Yanga walijitoa mwezi wa 7, walitumia kisingizio cha mechi yao na Pamba ya Mwanza kuvunjika, Pamba ikiongoza bao 2 na Yanga kugomea mechi kwa wakidai refa anapendelea. Ukweli ni kwamba waliikacha Simba ambayo mwaka mmoja nyuma 1977, waliichabanga Yanga 6 - 0. Mwaka 1978 Simba ilikuwa form kweli kweli, ni ile Simba ya Thuwen Ally, George Kulagwa, Nico Njohole, Mahadhi bin Jabir iliyofanya come back Zambia 5- 0.
 
Viazi mbatata vya Mwamed vinatafuta kila mbinu kuishusha record ya Yanga vinaishia kuharisha tu
 
Sandalendi au simba??,

Rekodi zako zinaionesha sandalendi
 
1978 ni kweli vita ya Kagera ilianza, lakini ilikuwa mwezi wa 9. Yanga walijitoa mwezi wa 7, walitumia kisingizio cha mechi yao na Pamba ya Mwanza kuvunjika, Pamba ikiongoza bao 2 na Yanga kugomea mechi kwa wakidai refa anapendelea. Ukweli ni kwamba waliikacha Simba ambayo mwaka mmoja nyuma 1977, waliichabanga Yanga 6 - 0. Mwaka 1978 Simba ilikuwa form kweli kweli, ni ile Simba ya Thuwen Ally, George Kulagwa, Nico Njohole, Mahadhi bin Jabir iliyofanya come back Zambia 5- 0.
Aziz ufunguo atawanyoosha sana mwaka huu
 
Jamani, Simba haikufungwa na timu yoyote Tanzania kwenye mechi za mashindano ikiwemo Ubingwa wa Tanzania tokea mwaka 1976 hadi 1980.

Na Yanga hakupata hata sare miaka hiyo, hata katika mechi za kirafiki hakupata hata sare, na 1977 aliambulia kipigo cha 6 bila katika kugombea ubingwa wa nchi.
Tupe ushahidi mkuu
 
Mkuu ukizungumzia unbeaten tunamaanisha kuanzia 40 kwenda mbele , ya Yanga inazungumziwa sababu imeingia kwenye record ya unbeaten za dunia
 
Back
Top Bottom