Unbeaten! Simba alikuwa unbeaten miaka mitano, mbona haizungumzwi?

Acha BANGE huo msimu wa vita vya IDD AMIN
 
Yaani unataka kutuletea habari zako za miaka ya 1970's! Tena usimute ulikuwa hata huna matarajio ya kiwepo duniani! Na wakati sisi tunaongelea unbeaten ya Yanga ya wakati huu uliopo!!
 
Ulikuwa umezaliwa!?
 
Yaani unataka kutuletea habari zako za miaka ya 1970's! Tena usimute ulikuwa hata huna matarajio ya kiwepo duniani! Na wakati sisi tunaongelea unbeaten ya Yanga ya wakati huu uliopo!!
Hata ni kama ni 70's record inabaki kama ilivyo, ni kama vile record ya Yanga kuingia makundi CAF Club championship mara ya mwisho 1998, Fei Toto hajazaliwa
 
Acha BANGE huo msimu wa vita vya IDD AMIN

Acha BANGE huo msimu wa vita vya IDD AMIN
1978 ni kweli vita ya Kagera ilianza, lakini ilikuwa mwezi wa 9. Yanga walijitoa mwezi wa 7, walitumia kisingizio cha mechi yao na Pamba ya Mwanza kuvunjika, Pamba ikiongoza bao 2 na Yanga kugomea mechi kwa wakidai refa anapendelea. Ukweli ni kwamba waliikacha Simba ambayo mwaka mmoja nyuma 1977, waliichabanga Yanga 6 - 0. Mwaka 1978 Simba ilikuwa form kweli kweli, ni ile Simba ya Thuwen Ally, George Kulagwa, Nico Njohole, Mahadhi bin Jabir iliyofanya come back Zambia 5- 0.
 
Viazi mbatata vya Mwamed vinatafuta kila mbinu kuishusha record ya Yanga vinaishia kuharisha tu
 
Sandalendi au simba??,

Rekodi zako zinaionesha sandalendi
 
Aziz ufunguo atawanyoosha sana mwaka huu
 
Tupe ushahidi mkuu
 
Mkuu ukizungumzia unbeaten tunamaanisha kuanzia 40 kwenda mbele , ya Yanga inazungumziwa sababu imeingia kwenye record ya unbeaten za dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…