Ahsante umempa jibu zuri yani huyo anaroho mbaya hata shetan mwenyew anamshangaa chefu kabisa uyoWivu na chuki binafsi zitawauwa mwaka huuu NA BADO...kama imekuuma sana meza wembe...
Yaan watu wengne hawana amani kisa Zari Zari ..mtu mwenyewe hata hawajuiAhsante umempa jibu zuri yani huyo anaroho mbaya hata shetan mwenyew anamshangaa chefu kabisa uyo
Chuki na roho mbaya zinawasumbua ......Yaan watu wengne hawana amani kisa Zari Zari ..mtu mwenyewe hata hawajui
ooh kumbe issue ni aina ya uliaji....wale lazima wagalegale nani atawatunzazote nimeona na wewe kama umeziona huwezi kuzilinganisha na ndugu wa mme wa ivan wale wamama.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]ooh kumbe issue ni aina ya uliaji....wale lazima wagalegale nani atawatunza
ukunga wa nini ? machozi sio kiwango cha huzuni huo ni unafiki tu.....Watu wana moyo video zote sijaona zari akilia kwa uchungu Nijuavyo kumpoteza mme ni kitu kikubwa sana. Nilitegemea kuona akipiga ukunga na mda huu angekua hata sauti haitoki, wiki mzima mfiwa sauti haitoki kabisa dah ana moyo.
mfiwa anapataga nguvu wapi kushika maiki akaongea? Sauti mubashara?mmmh? Au kwa kuwa ana mme kipenzi?
Anyway ni mtizamo wangu msinihukumu huwa niko emotional
Apumzike ivan.
Ukorofi sasa huu.wanyakyusa ndo wanachukua hadi vipaza sauti kupigilia yowe
Si ndio nashindwa,anashindwa kutafuta vyake anataka kupora watoto tena hadi anasema wafanyie DNA,sema kaomba msamaha.Mj
Mjomba naye anataka urithi , yaani mwanamme mzima anataka mteremko
After reports of Ivan Ssemwanga's dad mbu apologising, he has woken up this morning to say he has no reason to apologize to anyone. He still stands to what he said. Mbu he never wrote that speech.Si ndio nashindwa,anashindwa kutafuta vyake anataka kupora watoto tena hadi anasema wafanyie DNA,sema kaomba msamaha.
Uwii Mungu atusaidie jamani rip ivan[emoji47][emoji22][emoji22]Good Morning Great thinkers ....!! R.I.P Ivan Leo utaramba mchanga rasmi,Allah akupunguzie adhabu ya kabri
Duh sad.but am sure hatafanikiwa zari Ni strong woman,na niko sure Ivan aliacha kila kitu kwa mwanasheria wake kuhusu Mali zake.After reports of Ivan Ssemwanga's dad mbu apologising, he has woken up this morning to say he has no reason to apologize to anyone. He still stands to what he said. Mbu he never wrote that speech.
ntakwambia kitu sio hapa lakinikuna vitu lazima ukubaliane navyo tu hata upige tikitaka hawezi kurudi ni lazima azikwe,,, na wanaolia sana wanapoteza uchungu haraka .......hakuna mtu anayeumia kama yule anayekaaa kimya halii huwa anakaa na maumivu kwa mda mrefu sana
Hakika kila nafsi itaonja umati, ila tatizo ni kwa sisi tunaobakia naona wengi wenye tabia za ndugu wa mume humu wengi wanamsakama Zari as if amefanya dhambi kubwa sana kuachana na marehemu, kama Ivan siku yake ya kifo ilifika hata kama Angelikua na Zari angekufa tu maana imeandikwa kila binadamu ana siku yake ya kufikwa na umautiUwii Mungu atusaidie jamani rip ivan[emoji47][emoji22][emoji22]
sawa mkuuntakwambia kitu sio hapa lakini
hahahaa, makavu liveWivu na chuki binafsi zitawauwa mwaka huuu NA BADO...kama imekuuma sana meza wembe...
I miss , miss chaggasawa mkuu
i miss uI miss , miss chagga