TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,690
- 2,433
Hata mimi nime observe watu wengi wana wivu ..walitegemea Zari angeondoka mikono mitupu,people maisha ya watu undani wao wanaujua wao,sisi kuwaona tu kwa mitandao twajifanya kuwajua...Wivu na chuki binafsi zitawauwa mwaka huuu NA BADO...kama imekuuma sana meza wembe...