Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Bado! Wallet yangu naona haina mood kabisa na mambo hayoKamata kamoja mkuu au teyari 😊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado! Wallet yangu naona haina mood kabisa na mambo hayoKamata kamoja mkuu au teyari 😊
🤣🤣🤣🤣 zitaliwa tuu hata kama za ngamaBado! Wallet yangu naona haina mood kabisa na mambo hayo
Sawa mama aminaIssue hapa sio kunizidi hela au la huna access ya watoto wazuri ndio maana unasifia wa wenzako. Katafute pesa simply huna pesa.
Mwanaume unasifia wake wa wenzako? Low IQ, low self esteem, na huna pesa.
Picha ninazo but for the sake of our privacy siwezi kuzipostHukufanikiwa kuwa piga ka picha hata kwa kuibia?
Izo habari sina ushahidi nazo, nilichoandika ni kitu ambacho nilishuhudia na ushahidi ninao.Nimewahi kusikia mahali kwamba dimples ni chakula ya gsm na yule governor wa Mombasa, sasa jamaa ni mchicha mwiba ama maadui zake wanamzushia tu?
Jamaa kusoma hajui na picha pia haoni?Yule bb ngongoti hajawahi kuwa mrembo
Ngoja zifike level flan ili nkiombwa Hela ya kusuka 85000 nsitoe laana Kwa mtoto wa watu🤣🤣🤣🤣 zitaliwa tuu hata kama za ngama
We kama unapulizwa usiite wanaume wenzio mama(kama ulivyopunga). Mojawapo ya wanaume punga ni kuwasifia waume za watu (wanawake) ili aonekaneSawa mama amina
huku mtandaoni kumejaa vijana broke ambao wanafikiri kumchafua mtu aliewazidi kila kitu basi watapata faraja au kutawapunguzia ugumu wa maisha.Mleta mada mi nakuunga mkono.
Jamii yetu haijazoea wanaume aliyejipata na bado awe “well reserved” ikitokea basi atahisiwa tofauti. Some men are very picky and privacy is their cup of coffee.
Dimpozi anatembea na KE na haujamkuta anabembeleza, He will drive in the middle of the night to pick up a chick… Beautiful one, ana ka mwili kadogo, mweupe, ana ka ushombe shombe plus usingida. (sio mimi msinishukie) Dimpozi kama uko humu bisha nikutajie jina 😀
Sababu sijathibitisha kama anatembea na ME na nimethibitisha anatembea na KE basi naendelea amini ni aina ya ME ambao hawajataka kuprove uanaume wao kwa kukimbizana na sketi (scandals) . Nadhani it has something to do with his circle of friends also.
Okay bye!
Leta picha zinazothibitisha kuwa jamaa ni upinde then ntatuma izo unazotakaNataka picha mimi, tena sio moja ni zaidi ya moja
🤣🤣🤣🤣🤣Ngoja zifike level flan ili nkiombwa Hela ya kusuka 85000 nsitoe laana Kwa mtoto wa watu
na huyo mpenzi wake ndio wewe hapo!?Ugonile..
Mwaka Jana nilienda Zanzibar kwa ajili ya vacation na mchepuko wangu, wiki niliyofika ndo kulikua na maandalizi ya Tamasha la Mama Kizimkazi ambapo sehemu niliyofikia pia ilikua kwenye ratiba za Bi Tozo [Paje kwa Bibi yake na Zuchu]
Villa niliyokua nimebook ndo apoapo walokuwa wamebook Ommy Dimpoz, Majizzo na timu yao [bodyguards to be specific]
Luckily villa aliokua anakaa tulikua jirani sana kiasi ambacho mtu akiwa anatoka au anaingia upande wa pili ukiwa kwenye Balcony anaona kila kitu.
Siku anacheck-in alikua peke yake na mpenzi wake ndo baadae akina Majizzo wakafuatia, so nikiwa natoka kwenda excursion nilishangaa kumwona anatembea na huyo mpenzi wake wakiwa wameshikana viuno tukapeana tu hi pale kila mtu akaendelea na ratiba zake.
Huyo mpenzi wake itoshe tu kusema kuwa ni mrembo sana, ni mrefu, rangi ya chocolate, kajaliwa shape na kwa jinsi nilivyomtathmini pengine ikawa ni pisi kali kuliko za masuperstar wengi Bongo hii.
My Take: Privacy is power, endeleeni kumhisi ni upinde maana hamumpunguzii wala kumwongezea chochote kwenye maisha yake..!
lini nilikwambia kwamba jamaa ni upinde?. Me nataka picha za mlimbwende niburudishe macho yangu yakheeeLeta picha zinazothibitisha kuwa jamaa ni upinde then ntatuma izo unazotaka
Nami nasubiri majibu ya hili swali.Hivi mtu unajuaje kuwa mwanamke fulani ni mrembo au si mrembo
Nyie wanawake mnajuana wenyewe. Hili unatuletea sisi wanaume unataka tuseme nini?Ugonile..