Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakua uzushi tu ila jamaa anavyojipenda kama mtoto wa kike inatia shaka kidogoIzo habari sina ushahidi nazo, nilichoandika ni kitu ambacho nilishuhudia na ushahidi ninao.
Na hii ina sum up kuwa he is into women! Mpaka itakapothibitishwa otherwise.huku mtandaoni kumejaa vijana broke ambao wanafikiri kumchafua mtu aliewazidi kila kitu basi watapata faraja au kutawapunguzia ugumu wa maisha.
nmeandika short sana ili kuepuka kujulikana ila vijana wa kibongo wamejaa sana hila na chuki like walitaka wakute heading inasoma-
NILIKUTANA NA OMMY DIMPOZ HOTELINI KAPAKATWA NA MWANAUME MWENZIE, wtf.!!
huyo chick ulomwelezea apo ni tofauti kidogo na niliemwona nae Zanzibar, that one hakuwa na mwili mdogo, umbile lake ni kama la Zaylissa wa Haji [hata urefu] ila asili kama ya kinyarwanda.
low-key is the key.!!
Lakini jamaa anavyojiweka inasababisha watu kufikiri mambo mengineNa hii ina sum up kuwa he is into women! Mpaka itakapothibitishwa otherwise.
Tusipende kumpaka mtu kwa kitu ambacho hatujawahi kumuona nacho.
Vipi kama ni bisexual au pansexual?Mleta mada mi nakuunga mkono.
Jamii yetu haijazoea wanaume aliyejipata na bado awe “well reserved” ikitokea basi atahisiwa tofauti. Some men are very picky and privacy is their cup of coffee.
Dimpozi anatembea na KE na haujamkuta anabembeleza, He will drive in the middle of the night to pick up a chick… Beautiful one, ana ka mwili kadogo, mweupe, ana ka ushombe shombe plus usingida. (sio mimi msinishukie) Dimpozi kama uko humu bisha nikutajie jina 😀
Sababu sijathibitisha kama anatembea na ME na nimethibitisha anatembea na KE basi naendelea amini ni aina ya ME ambao hawajataka kuprove uanaume wao kwa kukimbizana na sketi (scandals) . Nadhani it has something to do with his circle of friends also.
Okay bye!
hii mbaya sanaNILIKUTANA NA OMMY DIMPOZ HOTELINI KAPAKATWA NA MWANAUME MWENZIE, wtf.!!
Tunajaribu kuthibitisha tulichoona kwa macho.. Ofcoz kwa dunia ya sasa it’s complicated kujua sexuality ya mtu.. Maana watu wanaamka tu wanadecide kuwa identified as…… mara kesho as …… .Vipi kama ni bisexual au pansexual?
Watu wengi wanaficha tabia zao ili kuepuka maneno ya watu
Kuna mbunge ulaya alikua akikosoa sana mashoga ila akakamatwa kwenye club ya mashoga, akajiuzuru
Mimi nadhani sexuality za watu tuachane nazo tu, na tusishangae kugundua maajabu, ni suala binafsi mno.
Haha kujiwekaje tena?Lakini jamaa anavyojiweka inasababisha watu kufikiri mambo mengine
Anajipodoa sana na kuvaa makorokocho kibao kama jinsia ya upande wa piliHaha kujiwekaje tena?
Kuna watu kuropokwa au kujisemesha na kujiandikisha vitu vya oungo au uzushi wameifanya kama kitu cha kawaida ndio maana hizi habari zinasambaa na nina uhakika baadhi ya wanaotolea ushuhuda kuwa ni gay hawajawahi hata kumuona wanafata mkumbo tuu.Tunajaribu kuthibitisha tulichoona kwa macho.. Ofcoz kwa dunia ya sasa it’s complicated kujua sexuality ya mtu.. Maana watu wanaamka tu wanadecide kuwa identified as…… mara kesho as …… .
Binafsi sina tatizo na yeyote, Huyu mwamba amesemwa ni gay mara nyingi… Na kuna sisi tulioshuhudia vinginevyo, Sum of us we will defend even our worst enemy! Siwezi kumsemea uongo for the sake of it.
Uzuri wa pisi ni subjective, ndiyo sababu wakasema "beauty is in the eye of the beholder".Huyo mpenzi wake itoshe tu kusema kuwa ni mrembo sana, ni mrefu, rangi ya chocolate, kajaliwa shape na kwa jinsi nilivyomtathmini pengine ikawa ni pisi kali kuliko za masuperstar wengi Bongo hii.
Kwangu mimi urembo ni masuala ya interest za mtu mwenyewe tuHivi mtu unajuaje kuwa mwanamke fulani ni mrembo au si mrembo
Kwangu mimi urembo ni masuala ya interest za mtu mwenyewe tuHivi mtu unajuaje kuwa mwanamke fulani ni mrembo au si mrembo
Mwanamke mrembo sana ni tatizo ndugu yangu wengi wanajiuzaUgonile..
Mwaka Jana nilienda Zanzibar kwa ajili ya vacation na mchepuko wangu, wiki niliyofika ndo kulikua na maandalizi ya Tamasha la Mama Kizimkazi ambapo sehemu niliyofikia pia ilikua kwenye ratiba za Bi Tozo [Paje kwa Bibi yake na Zuchu]
Villa niliyokua nimebook ndo apoapo walokuwa wamebook Ommy Dimpoz, Majizzo na timu yao [bodyguards to be specific]
Luckily villa aliokua anakaa tulikua jirani sana kiasi ambacho mtu akiwa anatoka au anaingia upande wa pili ukiwa kwenye Balcony anaona kila kitu.
Siku anacheck-in alikua peke yake na mpenzi wake ndo baadae akina Majizzo wakafuatia, so nikiwa natoka kwenda excursion nilishangaa kumwona anatembea na huyo mpenzi wake wakiwa wameshikana viuno tukapeana tu hi pale kila mtu akaendelea na ratiba zake.
Huyo mpenzi wake itoshe tu kusema kuwa ni mrembo sana, ni mrefu, rangi ya chocolate, kajaliwa shape na kwa jinsi nilivyomtathmini pengine ikawa ni pisi kali kuliko za masuperstar wengi Bongo hii.
My Take: Privacy is power, endeleeni kumhisi ni upinde maana hamumpunguzii wala kumwongezea chochote kwenye maisha yake..!
Si ndiooo!!!!Kuna watu kuropokwa au kujisemesha na kujiandikisha vitu vya oungo au uzushi wameifanya kama kitu cha kawaida ndio maana hizi habari zinasambaa na nina uhakika baadhi ya wanaotolea ushuhuda kuwa ni gay hawajawahi hata kumuona wanafata mkumbo tuu.