Rule L
JF-Expert Member
- May 31, 2020
- 1,846
- 2,754
Kwakwakwakwa
Hakuna cha privacy wala nini jamaa upinde, sema anawekwa na yeye anaweka period…!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna cha privacy wala nini jamaa upinde, sema anawekwa na yeye anaweka period…!!
Jibu la kiume kabisa hiliWe kama unapulizwa usiite wanaume wenzio mama(kama ulivyopunga). Mojawapo ya wanaume punga ni kuwasifia waume za watu (wanawake) ili aonekane
We mnyaki unazingua, umewahi kumfumania akiwekwa?Hakuna cha privacy wala nini jamaa upinde, sema anawekwa na yeye anaweka period…!!
Wote akili zenu kisoda, endeleeni kujifariji kwa kuandika ushubwadaJibu la kiume kabisa hili
Plz picha nirhibitishe, headline yako!Ugonile..
Mwaka Jana nilienda Zanzibar kwa ajili ya vacation na mchepuko wangu, wiki niliyofika ndo kulikua na maandalizi ya Tamasha la Mama Kizimkazi ambapo sehemu niliyofikia pia ilikua kwenye ratiba za Bi Tozo [Paje kwa Bibi yake na Zuchu]
Villa niliyokua nimebook ndo apoapo walokuwa wamebook Ommy Dimpoz, Majizzo na timu yao [bodyguards to be specific]
Luckily villa aliokua anakaa tulikua jirani sana kiasi ambacho mtu akiwa anatoka au anaingia upande wa pili ukiwa kwenye Balcony anaona kila kitu.
Siku anacheck-in alikua peke yake na mpenzi wake ndo baadae akina Majizzo wakafuatia, so nikiwa natoka kwenda excursion nilishangaa kumwona anatembea na huyo mpenzi wake wakiwa wameshikana viuno tukapeana tu hi pale kila mtu akaendelea na ratiba zake.
Huyo mpenzi wake itoshe tu kusema kuwa ni mrembo sana, ni mrefu, rangi ya chocolate, kajaliwa shape na kwa jinsi nilivyomtathmini pengine ikawa ni pisi kali kuliko za masuperstar wengi Bongo hii.
My Take: Privacy is power, endeleeni kumhisi ni upinde maana hamumpunguzii wala kumwongezea chochote kwenye maisha yake..!
Tulia punga weweWote akili zenu kisoda, endeleeni kujifariji kwa kuandika ushubwada
😹😹😹 Huyo hata historia ya kujificha kombolela na demu hana..!!We mnyaki unazingua, umewahi kumfumania akiwekwa?
Anazingua huyo anajua Ommy anamjua peke yake 😹😹
Usikute anajitetea ni yeye mwenyeweAnazingua huyo anajua Ommy anamjua peke yake 😹😹
😹😹😹🏃♀️🏃♀️🏃♀️Usikute anajitetea ni yeye mwenyewe
Wewe unafahamu pisi za wasanii wote?For sure ila kwa wasanii sijaona anaemiliki pisi kali kama ya Ommy
Jamaa labda ana maslahi na Ommy Dimpoz, maana sio kwa kumtetea huko. Aisee!Simjui Ommy Dimples lakini, nashindwa kuelewa lengo la wewe kuandika hapa? Ni kuwa hakikishia hao wanaomuona upinde kuwa yeye sio upinde au nini? Kwa hiyo kwa kushikana kiuno na huyo mrembo wewe tayari ume hitimisha kuwa sio upinde kama unavyosema? Tafadhali fanya utafiti zaidi sio kwa hoja hiyo tu.
Nahisi ni yeye 😉Jamaa labda ana maslahi na Ommy Dimpoz, maana sio kwa kumtetea huko. Aisee!
Wewe ukaamua kwenda vacation na mchepuko kama Betina na ZenaUgonile..